Umejipanga kabla ya kumpa mimba umendae??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Amazing.jpg
Upatapo changamoto kama hizi kwenye maisha unatakiwa ufanye nini?
 
Hospital zilizoendelea mtoto kama huyo hawakupi wanabaki nae,wanakwambia bahati mbaya.
 
Enzi za mababu, kiumbe kama huyu aliuawa siku aliyozaliwa. Huitwa mtoto wa jalala. Na wala hafanyiwi msiba ama matangazo huzikwa na watu wazima wachache.
 
Why not?ninyi ndo mnawafukuzaga wake zenu
eti sijui kajifungua albino aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
eti ukoo wetu hatuna mtu kama huyu
akamtafute baba wa mtoto acheni imani haba
hivi wewe ungezaliwa na ulemav af wazazi wako
wakakutelekeza hospt ungejiskiaje?



balaa hilo, hutakiwi kumchukua!!!
 
Back
Top Bottom