Elections 2010 Umejiandaaje na siku ya kupiga kura?

The King

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
357
1
-Kwanza hakikisha kadi yako ya kupigia kura umeishatafuta na kuiweka mahala ambapo utakumbuka kirahisi.

-Kutokana na uwezekano wa kuwepo foleni kubwa sana jiandae kwa kubeba maji ya kunywa mengi au soda na labda vitafunio ili njaa isikuadhiri kama wewe ni mtu wa makulajikulaji kila baada ya muda mfupi.

-Uwe makini mno ili kuhakikisha kura yako haiharibiki na unampigia kura yule ambaye unamuona atakuwa Rais/Mbunge na Diwani bora

-Usisahau kumpigia Rais Mtarajiwa Dr Slaa na Mgombea ubunge/udiwani. :peace:
 
Baada ya kutoka kwenye ibada, nitakuwa home siku nzima, si unajua tena gas haikamatiki so ni vyema nisave kwa kutulia na wajukuu. Karibu.
 
Back
Top Bottom