Umeiskia hii?!....

Also me

Member
Aug 17, 2011
67
10
.....Huko zimbambwe wajamen, kuna kampen kuwafanyia tohara a.k.a Circumsicion waheshimiwa wabunge ili kuweza kusaidia kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi, kampeni inayoendeshwa na taasis ya ukimwi ya nchi hyo!!...
yangu ndio hayo!...

....Maombi yangu
 
hahaha,kwani na wa kwetu ni wahanga wa hii?
kenya ndo najua kuna kampeni kabambe ya billioni kadhaa za faranga. ukipeleka mume kutahiriwa unapewa kshs 100.
<br />
<br />

kwetu hili tatizo lipo..! wapo jamaa flani kutoka kwenye mikoa flani iko kwenye water body flani hivi maarufu sana duniani.. wale jamaa hawafanyi circumsicion..! ni serious mimi nilikua na rafiki yangu flani hivi nae anatoka huko huko..! jamaa alikua hajafanyiwa and he was bot 26...! na akasema kwao ni normal kabisaaaaaa!
 
Hali wajameni! Kwa kwel hii kitu mpango mzima maana vigogo ndo wanahisiwa kumaliza walio na hal ya chn!
 
Tafsiri yake hapa ni kwamba Vigogo ndio wanaoongoza kwa NGONO ZEMBE
 
Naona hao jamaa baada ya kuudondosha mkono sweta speed ya kugonga hovyo itaongezeka
 
Na hapa kwetu wangeleta hiyo kampeni.
<br />
<br />
huku kwetu pia wapo watu kama hao. Nakumbuka mwaka juzi kuna mshkaj flani alikuwa mwl wa secondar Mwanza, alimtembelea bro ake arusha ili akatwe govi. Tusicheke!.
 
Kwa Tz sehemu kubwa ya wananchi wake wamekwenda tohara la kwa baadhi ya mikoa michache tena vikabila na sio mkoa mzima ndo hawajapewa suna.
Go west or east pale kati ...kwa mkono wa sweta au jando goma lipo palepale tu kutafuna vichwa vidogo hivyo
 
Back
Top Bottom