Umegundua kuwa mwanao kashikwa na Gubeli!

mkuu gaga embu lete full story basi, tupe picha kamili ,naona kuna mada nyeti sana hapa
Kwa kweli simshauri mzazi yeyote ampeleke mtoto wake hasa wa kike huko india, kuna kila aina ya vituko kuna ndugu zangu sasa hivi wanajutia uamuzi kama huo, wanajiozesha wenyewe huko
 
namrudisha aje akae nyumbani na asome shule ya kutwa tu..... kuna jamaa alikuwa anasoma mazengo sec enzi hizo aliwekwa ndani na jimama lipika gongo maeneo ya kikuyu mpaka akasahau shule,kipindi cha mwishoilibidi jamaa zake wawe wanamfuata huko ili aje kufanya national form fourm exams kaw bahati nzuri alipiga div two.... so ni hatari sana kwa vijana wadogo hasa under 18 mana yeye atakuwa anaona ni sifa!!!!
<br />
<br />
Nimekipenda hiki kisa,kuna mchiz wangu naye alipangiwa hostel tegeta high school.akalikamata lijimama la haja maeneo ya tegeta masite,dogo akahama bwen akahamia kwa maza akapewa chumba cha nje,baba mwenye nyumba alikuwa ni mtu wa safar sana,maza mambo safi,akajifanya ni wanafunzi wamepanga kwan kuna wengine walikuwa wamepanga hapo,mwisho wa siku ding akastuka anachukuliwa wife,vitu vyote vya dogo vikachuliwa mpaka madaftr na vitabu,mchizi alifeli kwa kushindwa kufikisha wastan wa shule wa kuingia fom six akahamia Moa hgh schl,huko nako ikawa balaaa.
 
Kazi ndogo tuu, kama hili ghuberi ni kazidi miaka 21, namchukulia police na ninamfungulia kesi ya Kubaka na kumtorosha mwanafunzi shuleni ,baada ya hapo, nampa darasa refu mwanangu halafu nambadilisha shule sababu shule hiyo inaoneysha kiasi gani isivyo makini na wanafunzi walio boaring , pia nadhani nitahitaji maelezo marefu kwanini shule imeshindwa kugundua mwanafunzi wake halali bwenini na kama sijaridhishw a nitachukua hatua za kisheria kuishtaki shule kwa kumweka mwanangu /mwanafunzi kwenye mazingira hatarishi.

Samahani hukunielewa kaka nilisema kuwa anaishi Hosteli na sio bwenini............. naomba kuweka sawa maelezo yangu kama nilivyoandika hapo juu........
 



Hebu chukulia kwamba, una mtoto ambaye umempeleka shule ya kulala au bweni. Huko anaishi hosteli na sio kwenye bweni. Halafu unashangaa kwamba, maendeleo ya mtoto kitaaluma hayako sawa na pia anaonesha kama hajatulia.


Unapoamua kufuatilia shuleni unabaini kwamba mwanao anahudhuria masomo mara chache sana. Lakini mwaya zaidi unabaini kwamba haishi kwenye Hosteli ambayo ulimlipia kuishi, badala yake unabaini kwamba anaishi na shangingi au Gubeli fulani ambalo limejichubua hadi kwenye ukucha.


Hebu niambie kama ni wewe ambaye umebaini jambo kama hili ungefanya nini? Kumbuka mtoto wako bado ni mdogo akiwa hazidi umri wa miaka 17.

Gubeli ni kitu gani? mh hiyo sttory kali kama ya shigongo
 
Ha ha haaa ikiwa uko zanzibar ndoa kati ya waliobalehe inaruhusiwa! So kwenye hali kama hiyo ni kuwatafuta tu wale wataalam wa ndoa za mikeka wamalize hiyo biashara...
 
Kwa kweli simshauri mzazi yeyote ampeleke mtoto wake hasa wa kike huko india, kuna kila aina ya vituko kuna ndugu zangu sasa hivi wanajutia uamuzi kama huo, wanajiozesha wenyewe huko
huh! wanajiolewesha? kwa wahindi eeh? ndiyo maana......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom