Umefuata moja wapo ya haya?????

shoshte

Senior Member
Apr 9, 2011
129
20
Katika kuoa kuna kuoa kwa aina tatu
1 kijana anaona ana majukumu mengi ya kazi anaona anahitaji msaidizi km akute chakula kufuliwa nk
2 tamaa yaani wenzake wote wameoa anawafuata na pia tamaa ya kungonoka wanavosema waswahili
3 umri umefikia na anaweza kuitunza familia
sasa hapa umefuata ipi au utafuata ipi?????
asanteni
 
napita tu waungwana maana sioni la kuchangia hapo ................................. maana mmh! kuoa??????
 
Happo hakuna.........
Mo naoa ili kutekeleza amri ya mungu........kuoa ni ibada........
 
Katika kuoa kuna kuoa kwa aina tatu1 kijana anaona ana majukumu mengi ya kazi anaona anahitaji msaidizi km akute chakula kufuliwa nk2 tamaa yaani wenzake wote wameoa anawafuata na pia tamaa ya kungonoka wanavosema waswahili3 umri umefikia na anaweza kuitunza familiasasa hapa umefuata ipi au utafuata ipi?????asanteni
Kwani kuoa kuna tofauti na mapenzi ya upenzi? Nauliza hivi coz ktk mahusiano ya upenzi nilionao maswali yote ya mtoa mada hujibika. In general swala la ngono na kupata watoto hupewa kipaumbele!
 
Back
Top Bottom