Umefaidika nini katika uongozi wa raisi jk kikwete?

mjunguonline

Member
Mar 10, 2011
73
5
Wana "JF",leo tunazindua Rasmi sherehe za kueleke Miaka 50 ya uhuru wetu.Ukiwa kama Mtanzania,umefaidika nini katika Uongozi wa Raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh JK Kikwete.
 
ukiacha Radio na TV ,Tracks za bongoflavour sasa zinapatikana hadi bungeni,ikulu ,mahakamani,migodini,magazetini,kwa wawekezaji,polisi na kwenye mikutano na NEC na kwenye majukwaa ya siasa...sipati tabu tena kutafuta CD zake
 
Binafsi nimejifunza kwamba, kumbe kiongozi wa Nchi siyo lazima uwe na uwezo mkubwa wa kufikiri, Tanzania inatawalika tuu ilimradi tuu kama hakuna wahuni watakao taka katiba yetu nzuri ibadirike.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom