Umechoka na rangi za nyumba

kassamali

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
214
40
TUNA COLLECTION ZAIDI YA 250 ZA WALLPAPERS KUTOKA GERMAN,UKRAINE,ITALY KWA AJILI YA KUTA ZA NYUMBA -TUNAWATALAMU WA KUTOSHA AMBAO WANAWEZA KUJA KUCHUKUA VIPIMO VYA NYUMBA NZIMA NA WATAALAMU WA KUZIBANDIKA KWENYE LINK HAPA UTAONA BAADHI YA COLLECTIO ZETU NA PORTFOLIOS AMBAZO TUMEZIFANYA EUROPE KWA WALE AMBAO WANATAKA MAELEZO ZAIDI WALLPAPERS ZINAWEKWA BADALA YA RANGI KWA UTALAAMU MKUBWA SANA KWA NYUMBA NZIMA KWA RANGI YOYOTE ILE AMBAYO MTEJE ANAHITAJI KIPANDE KIMOJA KINA UREFU WA METRE 10.05 X 0.53Metre KWA HIVUO UNAWEZA KUONA KWA HARAKA HARAKA NYUMBA YAKO NZIMA INAHITAJI VIPANDE VINGAPI .ASANTE KARIBNU SANA
 
Kuna watu wame ni pm juu ya maelezo zaidi ya wallpaper collection zangu ni tofauti na zile wallpaper zenye picha sijui P.DIDY au animals Collections zangu ni kwa ajili ya kuweka nyumba nzima badala ya rangi-kuna mapungufu mengi sana ya rangi unakuta rangi zingine si nzuri wallpapers inaweza kukaa kwenye ukuta zaidi ya miaka mitano inategemea na utunzaji unaweza kunagalia Portfolio zetu zaidi kwenye picha hapo kwa ajili ya kutunza reputation yetu tunafanya desining na kupaste wenyewe kwenye kuta -
 
mkuu mwaga picha za kazi ulizozifanya na mchanganuo mzima wa bei (gharama ya wallpaper kwa 1m, ubandikaji, etc..) hiyo link mimi si mwanachama wa huko
 
Mkuu weka picha za kutosha,hizo stikers ni ndani tu au hadi nje?
 
Hizi hapo chini ni baadhi ya Kazi zetu tulizokwisha zifanya na huo ndio muonekano wa wallpaper zetu ndani ya nyumba pia unaweza kufungua file hapo kwa aina ya wallpapers tulizonazo.Kwa kujibu swali la mmoja wetu hapo Wallpapers zinabandikwa ndani tu kwenye kuta za nyumba badala ya rangi zipo aina mbalimblai kwa ajili ya jikoni,seating room ded room au ofisini -Kwa sasa office yetu ipo Sofia Bulgaria ila kwa mara ya kwanza tupo katika harakati za mwisho kufungua office zetu Dar es salaam ambapo tutahudumia soko la Tanzania kwa ujumla vifaa na wallpapers zote tayari viko melini kwa sasa tunaweza kupokea order mbili ili baada ya vifaa na kila kitu tunaweza kufanya kazi-yoyote ambaye yupo serious anataka nyumba yake iwe na muonekano wa kisasa basi anaweza akanipm ili kumpa maelezo zaidi na bei zetu kwa ujumla kwa kawaida tunatoa guarantee ya mwaka mmoja na kuhusiana na durability wallpaper zinaweza kukaa kwa zaidi ya miaka mitano unlessotherwise wewe mwenyewe uziharibu kila kitu ni utunzaji .Asanteni
 
Attachments

  • PAINTED NON WOVEN BACKED WALL PAPER.zip
    6 MB · Views: 305
  • PAPER BACKED WALL PAPER.zip
    7.3 MB · Views: 365
  • interior-035.jpg
    interior-035.jpg
    62.3 KB · Views: 591
  • interior-036.jpg
    interior-036.jpg
    105.2 KB · Views: 579
  • interior-049.jpg
    interior-049.jpg
    117.1 KB · Views: 571
  • interior-306.jpg
    interior-306.jpg
    81.9 KB · Views: 713
  • interior-307.jpg
    interior-307.jpg
    93.9 KB · Views: 526
  • interior-308.jpg
    interior-308.jpg
    93.2 KB · Views: 541
  • interior-309.jpg
    interior-309.jpg
    73.8 KB · Views: 519
  • interior-322.jpg
    interior-322.jpg
    69.1 KB · Views: 534
  • interior-333.jpg
    interior-333.jpg
    97.8 KB · Views: 438
  • interior-349.jpg
    interior-349.jpg
    65.4 KB · Views: 467
  • interior-359.jpg
    interior-359.jpg
    120.3 KB · Views: 444
  • interior-373.jpg
    interior-373.jpg
    43.5 KB · Views: 639
  • interior-606.jpg
    interior-606.jpg
    56.3 KB · Views: 453
  • interior-628.jpg
    interior-628.jpg
    56.5 KB · Views: 763
  • interior-652.jpg
    interior-652.jpg
    115.2 KB · Views: 690
Nipo Arusha nahitaji sana kuachana na mambo ya rangi, vipi mnaweza nitumia endapo tutaelewana na kukamilisha malipo?
 
Hii imekaa vizuri sana, itabidi nifunge safari kuja show room kwenu kuchagua mwenyewe.
 
Ndugu yangu nitumie email yako kwa pm ili nikutumie maelezo yote.Asante

Nipo Arusha nahitaji sana kuachana na mambo ya rangi, vipi mnaweza nitumia endapo tutaelewana na kukamilisha malipo?
 
TUNA COLLECTION ZAIDI YA 250 ZA WALLPAPERS KUTOKA GERMAN,UKRAINE,ITALY KWA AJILI YA KUTA ZA NYUMBA -TUNAWATALAMU WA KUTOSHA AMBAO WANAWEZA KUJA KUCHUKUA VIPIMO VYA NYUMBA NZIMA NA WATAALAMU WA KUZIBANDIKA KWENYE LINK HAPA UTAONA BAADHI YA COLLECTIO ZETU NA PORTFOLIOS AMBAZO TUMEZIFANYA EUROPE KWA WALE AMBAO WANATAKA MAELEZO ZAIDI WALLPAPERS ZINAWEKWA BADALA YA RANGI KWA UTALAAMU MKUBWA SANA KWA NYUMBA NZIMA KWA RANGI YOYOTE ILE AMBAYO MTEJE ANAHITAJI KIPANDE KIMOJA KINA UREFU WA METRE 10.05 X 0.53Metre KWA HIVUO UNAWEZA KUONA KWA HARAKA HARAKA NYUMBA YAKO NZIMA INAHITAJI VIPANDE VINGAPI .ASANTE KARIBNU SANA

'ni kama hivi au hii ni zaidi mkuu'

wallpaper-evolved-wall-mural-4.jpg
 
Back
Top Bottom