umeajiriwa?..hii inaeza kuwa inakuhusu!!

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
...miaka iyo nasoma primary hadi nakuja kumaliza chuo kikuu hawa ndugu zetu walikua juu kwelikweli!!walibahatika kupata kazi nzuri yenye magendo ya kila namna..walitumia pesa ikawazoea hadi wakafanana nayo!!...watoto walizaliwa wakakulia kwenye dimbwi la pesa!!maisha si ndio hayo bhana!!!!!!

ndugu tuliambulia karaha za hapa na pale hasa tulipowatembelea au kuonana nao.walikua wakihamishwa kikazi mkoa mmoj akwenda mwingine mara kwa mara...!!

wamestaafu mwaka [kapuni ]...siku zinaenda jamani!!!!!!mtoto wao wa kwanza ndo kwanza anaanza [kapuni] na wa mwsho bado yupo [kapuni]!!!!

sin alengo baya kuuleta uzi huu hapa...ni katika tukukumbushana na kupeana experience za wenzetu...umejiandaaje baada ya kustaafu?..hat aivyo kwani lazima ufike 60 ndo ustaafu?anyway mada pana san ahii !!

sasa basi mzee wa watu alijenga [..] huko [...] kwao..ila hata kibanda mjini hakuwa nacho..si unajua ten akuna wenye nyumba za maofisi?...........

wakapokea kiinua mgongo na sjui ppf/lapf wakaanzisha vimiradi isiyo na usimamizi mzuri na ukizingatia hawakuwa wajasiria/hawakupata elimu nzuri...ikala kwao!!wapo huko walipo hali ni mbaya sio bia tena ni za kienyeji!!!!!!!!so sad

umeajiriwa??.........una mpango gani lets say kazi kesho imepotea gafla!!usijigambe unasecurity ndugu...tujiandae wapendwa!!ujasiriamali haukwepeki kwa namna yeyot eile.....mi am praying nistaafu at 40 niboreshe miradi yangu ninayoinvest sasa!!....FAINALI UZEENI
 
wengine wanadai wanainvest kwa watoto wao waje wawasaidie!!what a ****........huku nikuja kusumbua watoto!!anakua na kazi ya kujipanga yeye na familia yake na ww bado unahitaji kulelewa,,,simaanishi watoto wasiiangalie familia y ababa au mama zao..lahasha!!ila wazazi tuna nafasi nzuri ya kujipanga mapema kiujasiriamali na tukapunguza utegemezi kwa watoto wetu jamani!!!!!
 
Mimi nitainvest kwa watoto, nitawapa yote niwezayo. My Dad invested in me, alikuwa kopakopa united ili nisome the best schools. Hadi leo hii I CAN NEVER BLAME MY DAD FOR ANY OF MY FAILURES! Alijitahidi kwa uwezo wake, how i turned out to be is my own doing, and i can only blame me!!!!
 
Hata kujiajiri kuna siku (mbeleni) mwili utachoka hivyo kushindwa kukimbizana na biashara na hakuna binadamu yuko tayari kumfanyia mwenzie kazi ili azidi kuwa tajiri (Agency problem/goal congruence). Muhimu ni kuwekeza kwenye "real estate' kwa wale wenye channel za kupata pesa nyingi sasa
 
Aisee ni ukweli na nusu, tuna kila sababu ya kujipanga while we can; kutegemea watoto haitafanya kazi tena in the near future.
 
I am what GOD says I am
I have what GOD says I have
I can do what GOD says I can do....

AMEN...!!
 
Back
Top Bottom