.... Ume "HAVE ENOUGH"... Usiongeze.. Get back home...

tehe...ila mida mibaya hii...either mechi ndio imeisha au soon picha linaanza!

Bagah... mie Bado npo kwenye CP.. Mtoto analiaa...... tu njoo Dia... nafanya kama nampotezea hivi... ila nikienda Bed namchakaza nooma.... Nafikir saiv ni usiku.. watoto wamesha lala..
 
huu urafiki wa Nitty, bagah na walinazi mbona siuelewi?
Mnanitisha mtoto wa mwenzenu, kila saa mko wote.
 
Kumekucha... natumaini mlirudi salama.... na hamkusumbua familia zenu...
 
....haya sasa jioni nyingne ya weekend....
Tumia kistaarab.... Uki ..."HAVE ENOUGH.." Nenda home.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom