Elections 2010 Umati wa Songea ni tishio kwa Slaa

Zawadi vp tisheti za ccm zimeisha? Maana juzi nilisikia ulikuwa umejaza gari ile nyeusi makofia na manguo ya kijani na kuyagawa mitaa ya magomen. Alaf wanaTAKUkuru piteni magomen mitaani mupate habari mana Ijumaa kila mkazi kahaidiwa sh.2000 na mgombea fisadi wa udiwani na ubunge. Alaf shahada za wanafunzi wa kidato cha 5&6 Green Acres mbezi zilikusanywa kwa matroni baada ya kutoka kujiandikisha kwa malori pale magomen. Mi nilishuhudia je ili si kosa? Naomba wenye sheria za uchaguzi watueleze.

Tshirt hazijaisha, ila wakati mwingine unapoz kidogo. Any way hiyo si issue, issue ni kwamba UDIWANI wa Magomeni wapinzani wote wameshakubali kuwa ccm ni kiboko na DIWANI wake tayari wameshamkubali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom