Umaskini mwingi huletwa na wanawake ktk mahusiano na ndoa, a woman never satisfy..!!

You are damn right Mr Prezidaa............lakini niseme kuwa baadhi yao kama amabavyo hata sisi midume in the same positon tunaweza kuwa mapimbi na wadwanzi...............ni kitu kibaya sana kuwatokea wana ndoa na bahati mbaya ndoa nyingi zimekubwa na huyu shetani.
 
I am still OPEN, TRANSPARENT, wanawake si watuuuuu, amini usiamini, i know wake za watu kibaooo hasa maofisini wafanyavyo, yaaani acha tu, wengi wao ni kunguru hawafugiki, i am walking with facts, hawafaiiiii

Mr president ushauri wa bure, OA DUME! watoto muende msimbazi mka-asili kwa kadri ya makubaliano yenu. DUME mwenzio si tu ana miguvu ya kutafuta na hana tamaa, lakini pia anafugika, yuko kama bata, hata ukimuacha na mbawa zake si rahisi aruke, anazungukazunguka uwanjani tu, ila vumilia mavi tu!
 
The best advice my mother told me is "NEVER TRUST A WOMAN EVEN HERSELF"..

she used to tell me to play my cards very smart with woman japokuwa hataki kusema in details kwa nini nisiwaamini 100% but am sure she is correct and i put that advice on my mind,,

Nilishangaa sana that day kwa sababu yupo kwenye happy marriage with my father for more than 35 years tena yenye mafanikio kiasi cha watoto kujivunia wazazi tuliopata lakini alisema hivyo Tena na tena na kumalizia kuwa that was her best advice to son"s she ever give
yawezekana nae ni aina ya wanawake ambao mr president anasema. mimi ninavyojua 'binadamu' yoyote yule mwanamke au mwanamume haaminiki. tumezoea kusikia machangudoa wanazungumzwa kila kona, lakini sifa zote mbaya huletwa kwa wanawake... swali la kujiuliza ni kwamba kama pasingekuwa na wateja (ambao ni wanaume_ je machangu wangeuza nini??? wanawake tumezoea kunyooshewa vidole, kila baya ni wanawake, hata mume akifa ni mke kamuua, mtoto akiwa mbumbumbu ni mzigo wa mamake, maisha yasipoenda vema kwenye ndoa mwanamke ndio mwenye nuksi. mie huwa na fanya summary kuwa mna heri nyie wanaume ambao Mungu aliwaumba wakamilifu wa kila kitu na ndio maana mnaona hata makosa ya wenzenu
 
kazi kweli kweli yaani kwa kuwa demu wako kimeo, basi wanawake wote vimeo
 
Braza we acha tu.
Ilikuwa ni mwaka 2008
Baada ya kuona maisha ya kupanga ni magumu, niliweka mpango wa kujenga nyumba ya wastani. Kuna pesa nilipata mahari, nikaongezea na mkopo toka benki halafu ujenzi ukaanza. Kwa kuwa nilikopa benki, mshahara unaoingia kwenye account ukapungua kutokana na makato. Baadaye mke akapata kazi inayomlipa mara nne ya kipato chake cha awali.

Nikamshauri anipunguzie mzigo wa kodi ya meza bz pato langu limeshuka. Haikupita nusu mwaka malalamiko niliyopata, asikwambie mtu. Eti simtunzi (economically). Wakati anajua economically pato limepungua kwa sababu gani.

From that day mpaka leo sina hamu naye on economical issues. Nafanya ninachoweza.

Pole kwa yote yaliyokupata. Lakini nakushukuru kwa kujifunza somo. Kwa walio wengi chako ni chake na chake ni chake.
 
I am still OPEN, TRANSPARENT, wanawake si watuuuuu, amini usiamini, i know wake za watu kibaooo hasa maofisini wafanyavyo, yaaani acha tu, wengi wao ni kunguru hawafugiki, i am walking with facts, hawafaiiiii

Mr President mbona kama vile una hasira sana ? pole haya ndo maisha omba tu mungu akupe wako atakayekupenda,kukuheshimu na kukuelewa
 
Mr President mbona kama vile una hasira sana ? pole haya ndo maisha omba tu mungu akupe wako atakayekupenda,kukuheshimu na kukuelewa

Looong time no see u, problem solved 90% after i intervened, but ningeacha some steps angeendelea, so nimengoa kila kitu, kwani ningechelewa shemeji yenu labda baaadae angemtongoza na huenda angegawa, hata kama kivulana chenyewe hakina uwezo u never know KWANI WANAWAKE NI WATU WA KUDANGANYWA ALWAYS NDIO UMPATE KIRAHISI, UKISEMA UKWELI MWANZONI MWANAMKE HUMPATI NG'O, atakuja kujua ukweli wakati magoli kibao ndani, so hawezi geuka, so i stopped her kuwa lege lege, now tupo cool, ila nalala jicho moja waziii kama SUNGURA ALL MY LIFE KUHUSU MKE WANGU HADI NAKUFA, ole wa mwanaume atakaye mwamini mkeo 100%, kwani usimwambie humwamini, bali uwe mlinzi wake kila siku si kimapenzi tu, 4 everything, gday guyz
 
Kaaaahhh kimenukaaa...!!!
Kwa WANAUME: ukitaka kufeli kimaisha till 2 b Matonya like, mpende mwanamke, then uone drama, hawa wanawake hawajui MAENDELEO, ARE SHORT SIGHTED, ataku endesha hadi kazi, marafiki, ndugu wooote utawaona wabaya, natakaaaa, natakaaa hiki, kile, hii, hiyoo, au wengine hawasemi wapo kimya usiponunua atakacho anatoka nje kugawa mzigo, ALERT TO MEN. do what u can do most women never satisfy, u can do matured sex with her, rough one, atakutamkia NO ONE LIKE U, utampeleka out, shopping, mpe hela, BALAA atagawa nje bureeeee, MEN, my FELLOW MEEEN, watch out, since ADAM & Eve, DELILA & Samson, STRASS KHAN former imf chief, WOMEN ndio chanzo cha kuanguka vibaya, MY FELLOW MEEEEEN, have a touuugh stand kuhusu hawa watu, do everything, one day asubuhi mkate ukosekane ndio utajua hawana simile, memory, or ulifanya kizuri in the past, USIMWONESHE MWANAMKE UNA MPENDAAAAA, utakuwa maskini fukara kabisa, tired
Thank you for this message, kweli hawa viumbe wanamatatizo sana, kwani utafanya kila kitu ila siku wakiamua kubadirika huwa hawakumbuki kabisa yote mazuri mliyoyafanya mkiwa pamoja....they are too easy to forget..
 
Thank you for this message, kweli hawa viumbe wanamatatizo sana, kwani utafanya kila kitu ila siku wakiamua kubadirika huwa hawakumbuki kabisa yote mazuri mliyoyafanya mkiwa pamoja....they are too easy to forget..
I call it selfishness, mwanamke ni wa kumdharau tu...ukimchukulia serious atakuumiza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom