Umaskini mwingi huletwa na wanawake ktk mahusiano na ndoa, a woman never satisfy..!!

nadhani mada hii km nimeielewa vema inawalenga zaidi wanawake ambao ni wake/ wenye mahusiano ya mapenzi na wanaume na si dada, mama wala shangazi....
kwani mama yako si ni mke wa baba yako? Au dada yako si anaweza kuwa mke wa shemeji yako? So tukisema wanawake wanaleta umasikini,hawaaminiki etc tunawezaje kuwaacha hawa nje? Actually, mleta mada mwenyewe amekubali kuwa anazungumzia wanawake wote ikiwa ni pamoja na mama na dada zake(unaweza kumsoma tena hapo juu).
 
Kazi kweli kweli
Wengine huku tunasaidia waume zetu kwenye maendeleo na ushauri wa investments,hadi wanatushukuru,huku mmoja ana weka judgement kwa wanawake wote wakati ni isolated incidence
 
I am still OPEN, TRANSPARENT, wanawake si watuuuuu, amini usiamini, i know wake za watu kibaooo hasa maofisini wafanyavyo, yaaani acha tu, wengi wao ni kunguru hawafugiki, i am walking with facts, hawafaiiiii
Unachukulia mifano ya wanawake unao waona ofisini na in your neighborhood kujenga theory? Leta hizo facts basi (statistical data) na pia kumbuka kuweka za wanaume wanao wakosea wanawake ili tuweze ku-analyze kama it is a female behavior (in case wanawake ndio wenye kosa zaidi) or a human behavior (in case wote wanakoseana).
 
Kaaaahhh kimenukaaa...!!!
Kwa WANAUME: ukitaka kufeli kimaisha till 2 b Matonya like, mpende mwanamke, then uone drama, hawa wanawake hawajui MAENDELEO, ARE SHORT SIGHTED, ataku endesha hadi kazi, marafiki, ndugu wooote utawaona wabaya, natakaaaa, natakaaa hiki, kile, hii, hiyoo, au wengine hawasemi wapo kimya usiponunua atakacho anatoka nje kugawa mzigo, ALERT TO MEN. do what u can do most women never satisfy, u can do matured sex with her, rough one, atakutamkia NO ONE LIKE U, utampeleka out, shopping, mpe hela, BALAA atagawa nje bureeeee, MEN, my FELLOW MEEEN, watch out, since ADAM & Eve, DELILA & Samson, STRASS KHAN former imf chief, WOMEN ndio chanzo cha kuanguka vibaya, MY FELLOW MEEEEEN, have a touuugh stand kuhusu hawa watu, do everything, one day asubuhi mkate ukosekane ndio utajua hawana simile, memory, or ulifanya kizuri in the past, USIMWONESHE MWANAMKE UNA MPENDAAAAA, utakuwa maskini fukara kabisa, tired

Excuse me, huna vituo wala koma. You must be desperate!
 
Zogo lote hili Mr President kakuta sms moja na kufuatilia TIGO kakuta kumbe kamshuhudia mwenziwe uongo

hahaha.......mtajitoa roho kwa upuuzi.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kaaaahhh kimenukaaa...!!!
Kwa WANAUME: ukitaka kufeli kimaisha till 2 b Matonya like, mpende mwanamke, then uone drama, hawa wanawake hawajui MAENDELEO, ARE SHORT SIGHTED, ataku endesha hadi kazi, marafiki, ndugu wooote utawaona wabaya, natakaaaa, natakaaa hiki, kile, hii, hiyoo, au wengine hawasemi wapo kimya usiponunua atakacho anatoka nje kugawa mzigo, ALERT TO MEN. do what u can do most women never satisfy, u can do matured sex with her, rough one, atakutamkia NO ONE LIKE U, utampeleka out, shopping, mpe hela, BALAA atagawa nje bureeeee, MEN, my FELLOW MEEEN, watch out, since ADAM & Eve, DELILA & Samson, STRASS KHAN former imf chief, WOMEN ndio chanzo cha kuanguka vibaya, MY FELLOW MEEEEEN, have a touuugh stand kuhusu hawa watu, do everything, one day asubuhi mkate ukosekane ndio utajua hawana simile, memory, or ulifanya kizuri in the past, USIMWONESHE MWANAMKE UNA MPENDAAAAA, utakuwa maskini fukara kabisa, tired

Tafuta Psychological therapist akusaidie, unatatizo wewe. Nenda tu atakuambia unatatizo gani na atajua jinsi ya kukusaidia. Kinachofuata hapa utapoteza hata nguvu za kiume, kama hazijapotea bado. Huu ni msaada wa bure.
 
Kaaaahhh kimenukaaa...!!!
Kwa WANAUME: ukitaka kufeli kimaisha till 2 b Matonya like, mpende mwanamke, then uone drama, hawa wanawake hawajui MAENDELEO, ARE SHORT SIGHTED, ataku endesha hadi kazi, marafiki, ndugu wooote utawaona wabaya, natakaaaa, natakaaa hiki, kile, hii, hiyoo, au wengine hawasemi wapo kimya usiponunua atakacho anatoka nje kugawa mzigo, ALERT TO MEN. do what u can do most women never satisfy, u can do matured sex with her, rough one, atakutamkia NO ONE LIKE U, utampeleka out, shopping, mpe hela, BALAA atagawa nje bureeeee, MEN, my FELLOW MEEEN, watch out, since ADAM & Eve, DELILA & Samson, STRASS KHAN former imf chief, WOMEN ndio chanzo cha kuanguka vibaya, MY FELLOW MEEEEEN, have a touuugh stand kuhusu hawa watu, do everything, one day asubuhi mkate ukosekane ndio utajua hawana simile, memory, or ulifanya kizuri in the past, USIMWONESHE MWANAMKE UNA MPENDAAAAA, utakuwa maskini fukara kabisa, tired

Inaweza kuwa kweli. Kujumuisha wote bila kutoa exceptional ndipo ulipokosea na statement yako yoote kuwa null and void.
 
The best advice my mother told me is "NEVER TRUST A WOMAN EVEN HERSELF"..

she used to tell me to play my cards very smart with woman japokuwa hataki kusema in details kwa nini nisiwaamini 100% but am sure she is correct and i put that advice on my mind,,

Nilishangaa sana that day kwa sababu yupo kwenye happy marriage with my father for more than 35 years tena yenye mafanikio kiasi cha watoto kujivunia wazazi tuliopata lakini alisema hivyo Tena na tena na kumalizia kuwa that was her best advice to son"s she ever give
 
Unachukulia mifano ya wanawake unao waona ofisini na in your neighborhood kujenga theory? Leta hizo facts basi (statistical data) na pia kumbuka kuweka za wanaume wanao wakosea wanawake ili tuweze ku-analyze kama it is a female behavior (in case wanawake ndio wenye kosa zaidi) or a human behavior (in case wote wanakoseana).

aaah hapa naungana na jamaa, WANAWAKE MMEZIDI looh
 
I don't know much ujana wa mapenzi ya my mum & dad, ila quote me, THE WORST & BEST SELECTION A MAN CAN MAKE IS SELECTION OF HIS WIFE, ur are talking theoritically, i am talking practically, so hatuelewani, i have been with her looong time ila bado tupo pamoja, teaching her driving kajua, anaendesha ma nicest car, best home, enough money, tu lovers miaka 4 both families know, mm ndio namtunza hadi always, chupi, ila nimekuta ONE SMS SIKIAMINI, kalia machozi eti wrong number, we call the number jamaa anasema sweety uko wapi, kusikua sauti yangu kakata cm, kufuatilia tigo sikukuta sms nyingine yoyote tuko kwake, ndio moyo ukatulia, just coming from tigo with her kilikuwa KIMENUKA LEO SHEMEJI YENU MACHO MEKUNDUUU, wanajamiii thanks, ila still i have dought maana jamaa kapotea meaning anajua kinachoendelea..... Watch these wanawake hadi kifo

dah mkuu pole sana hawa ndio wanawake bana, au wewe ulimpa vyote kasoro yake mambo yetu?!
 
Kaaaahhh kimenukaaa...!!!
Kwa WANAUME: ukitaka kufeli kimaisha till 2 b Matonya like, mpende mwanamke, then uone drama, hawa wanawake hawajui MAENDELEO, ARE SHORT SIGHTED, ataku endesha hadi kazi, marafiki, ndugu wooote utawaona wabaya, natakaaaa, natakaaa hiki, kile, hii, hiyoo, au wengine hawasemi wapo kimya usiponunua atakacho anatoka nje kugawa mzigo, ALERT TO MEN. do what u can do most women never satisfy, u can do matured sex with her, rough one, atakutamkia NO ONE LIKE U, utampeleka out, shopping, mpe hela, BALAA atagawa nje bureeeee, MEN, my FELLOW MEEEN, watch out, since ADAM & Eve, DELILA & Samson, STRASS KHAN former imf chief, WOMEN ndio chanzo cha kuanguka vibaya, MY FELLOW MEEEEEN, have a touuugh stand kuhusu hawa watu, do everything, one day asubuhi mkate ukosekane ndio utajua hawana simile, memory, or ulifanya kizuri in the past, USIMWONESHE MWANAMKE UNA MPENDAAAAA, utakuwa maskini fukara kabisa, tired

Sio wote... Kumbuka kwamba mama yako pia ni mwanamke. Nadhani unakabiliwa na moja kati ya haya mawili:

1. Unazungumzia viruka njia.
2. Wamegundua kwamba wewe ni onja onja, na hudumu na mwanamke mmoja kwa muda mrefu kwa hiyo ni maswala ya "chukua chako mapema". Au "ukiona mwenzio amenyolewa, weka maji".

Wa kwangu mie anajituma na ni mpigaji bajeti mzuri sana. Bajeti zote za nyumbani nimefanya ni jukumu lake.
 
Hata Mwanaume asiyejua kufunga zipu (mwenye Vimada a.ka. Nyumba ndogo) huleta umaskini, fedheha na karaha kwenye familia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom