Umalaya Vs Ukahaba

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,097
jamani nataka tuangalie tofauti kati ya "umalaya" na "ukahaba"
UMALAYA: ni ile hali ya mtu kutaka kuwa na mahusiano ya kimapenzi na zaidi ya mmoja, na akifanya ivyo yeye huwa anajickia raha, au kubadili badili kwa muda mfupi, na pia hawezi kukaa muda mrefu bila kutamani kufanya tendo la ndoa.
UKAHABA: huyu yeye huwa anajua kabsa kwamba anafanya kama biashara njia ya kupata pesa, hata kama hakuwa tayari kufanya,lkn akitokea m2 ana pesa yupo tayari. na hawa huwa hawatongozwi ww unasema tu kama unavyosema kitu dukani basi. na hawa ukiwa nae leo au muda huu mkitoka hapo hamjuani na anaweza akaenda na mwngne na ww unaona.
USHAURI: yote hayo yanaongozwa na roho za kipepo, USITHUBUTU KTK JINA LA YESU KRISTO, Kama Unatatzo Hapo Naomba Ni Pm
 
Umalaya ni early stage ukahaba ni matured stage...! Uchangudoa ni stage ya mwisho in a cycle..! Na tahadhari haya maneno hutumika kwa mwanamke tuu na sio mwanaume...!
 
Umalaya ni hali ya mtu kua na mpenzi zaidi ya mmoja hii hutumika sana kwa wanawake ingawa kuna wanaume pia huitwa hivyo.

Kahaba ni mwanamke anayeutumia mwili wake kwa kujiingizia kipato, huyu hua na wanaume idadi yoyote ili mradi wanamlipa pesa au ujira.
 
Back
Top Bottom