Umakini wa Buge letu bado ni kitendawili.

Mlyafinono

Senior Member
Apr 6, 2012
177
47
Bunge lilipitisha sheria ya ununuzi wa vitu chakavu, leo wanapitisha sheria ya kuzuia ununuzi wa magari yenye umri wa zaidi ya miaka kumi.Umakini wa bunge letu upo kweli?
 
Bunge la sasa ni komedi,wanapitisha mkono wa kushoto wanakuja kuchukua na mkono wa kulia!! Katiba mpya wabunge wawe @lst na kacertificate cha sheria!
 
Bunge lilipitisha sheria ya ununuzi wa vitu chakavu, leo wanapitisha sheria ya kuzuia ununuzi wa magari yenye umri wa zaidi ya miaka kumi.Umakini wa bunge letu upo kweli?

ushabiki wa kipuuzi! uchakavu wa magari hautokani na umri unatokana na matumizi! nchi kama japan barabara zao zipo nzuri naweza kusema kuliko nchi yoyote duniani na magari yao yanakaguliwa mara kwa mara na matunzo yapo ya hali ya juu! unaweza kukuta gari la mwaka 1999 lakini limetembea kilometa 36,000 tu sasa utafananisha na gari ya 2005 iliyotembea kilometa 135,000??wajapan wanauza magari yao sio kwa sababu yamechakaa bali kwa sababu ya fashion na technolojia, mfano sasa hivi magari ya hybrid yanaingia kwenye soko la japan so watu wanauza magari wnanunua hybrid ambayo kwa asilimia kubwa yanatumia betri na asilimia kidogo sana chini ya 20% ni mafuta!
 
Back
Top Bottom