Umakini katika vipimo vya mabondia wetu

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
untitled.png

Bondia Maneno Osward akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na mpinzani wake Rashid Matumla. Kulia ni katibu wa PST, Antony Lutta.
2.JPG



Bondia Mbwana Matumla akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kugombea ubingwa wa UBO na Fransic Miyayusho.


 
Hujasomeka mkuu. Umakini wa kupima uzito kwa mabondia wetu umekuwaje? Hawako makini au wako makini?
 
Ngoshwe kuna aina nyingi za vipimio. La muhimu ni usahihi wa matokeo ya kupima bila kujali aina ya kipimio.
 
uyo jamaa wa kwanza mzeee, aliye choka, aliwahi kupigwa ngumi nyingi sana za uso na matumla mkubwa hadi nilimwonea huruma, ni sugu huyo jamaa, yaani alipigwa nyingi lakini ni mvumilivi sana wa kupigwa.
 
Ivi ni kwanini kila mmoja ameinua mikono kama ile picha ya konyagi? kuna ulazima gani au ni kuiga waanzilishi wa ngumi?
Kwani usipoinua mikono na kukaza mwili kutaathiri vipi uzito?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom