umaarufu wa SUNRISE RADIO wapanda chat arusha

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
hii ni baada ya waandishi wake kurusha live mchakato wa upigaji kura na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru mashariki.
Watu waarusha walionekana katika vikundi wakisikiliza radio hii na pia walituma sms nyingi kuipongeza.

TBC igeni mfano huu!
 
ukifanya jema utathaminiwa daima iko hivyo watu tunataka ukweli hata kama unauma
 
We ni mfanyakazi wa Sunrise radio unataka kutuletea promo hali tunajua kuwa hamlipwi ujira wowote bali mnatangazia sifa tu, na vi elfu kumi mnavyowarubuni madiwani ili muwasifu hewani.
mmiliki wenu Mary Nagu ni gamba kama wengine.
humu ni jukwaa la wenye akili na hicho kiredio ni saizi ya clouds. peleka huu upuuzi kijiweni kwa mabongo fleva.
 
Back
Top Bottom