Umaarufu wa Kanumba unanitia shaka !

je usafi wa lulu ukoje?alikuwa anaongea na mpenzi mwingine ndo ugomvi ukafumuka. umeona picha zake akiwa na nusu uchi kwenye club za usiku?pia shutuma kuwa anatembea na mbunge wa kusini ambae ni kiongozi wa bendi ya chama?its failure of our society as whole
 
Ndio mnapa umaarufu zaidi kumzungumzia Marehemu!
Tumuache apumzike kwa amani kaka wa watu.

Asemwe au asisemwe,kwa sasa amejipumzikia tu,hakuna kelele wala neno analolisikia kutoka kwa walio hai au otherwise....anasubiri siku ya mwisho MUngu atakapotoa hukumu ya haki kwa binadamu wote...
 
huyu mtoto alikua mapepe mwenyewe na mwisho yamemkuta makubwa.km angekua anajiheshimu na kuwa serious na msimamo wake hata wanaume km kina kanumba wangemwogopa.tatizo utulivu zero na kupenda makubwa kupita umri wake.sikubaliani na kanumba kutoka na huyu mtt lakini lawama zangu nazielekeza zaidi kwa lulu.RIP the great.

Omba kila siku katika maisha yako maneno haya uliyaandika yasije yaka-boomerang kwa watoto ulio nao au utakaowapata siku za usoni...Huyu mtoto was a victim and not the tryant as some people want us to believe...she is an abused case...!!!wish you could understand that
 
Back
Top Bottom