PETER JOHN MLAY
Member
- Feb 16, 2012
- 27
- 13
NAPATA SHIDA KUUKUBALI UMAARUFU WA KANUMBA
Napata shida moyoni kumkubali Kanumba kama mtu muungwana na aliye stahili heshima aliyo pewa ya kuzikwa namaelfu ya watu na tena viongozi wetu wa kitaifa. Nataka kujipambanua mapemahapa kuwa sina shida na mtu yeyote Yule maarufu haswa kama umaarufu wake umetokana nanjia sahihi zinazo weza kuigwa na jamii ya watu walio staarabika.
Ni rahisi watu wengi kufuata mkumbo nakuanza kumsifia mtu maarufu haswa hapa kwetu Tanzaniabila ya kufuatilia umaarufu huo kaupatapataje! Na kama vile ada, mtu yeyotemaarufu anapo fariki dunia, nyuma yake, kuna watu lukuki wanaobaki wakiusifiaumaarufu huo.
Steven Kanumba, msanii wa filamu aliyefariki dunia zaidi ya wiki moja sasa, ni kweli ime thibitika kuwa alikuwa nimtu maarufu sana hapa Tanzania na hata nje ya Tanzania; umati wa watu waliiojitokeza kumzika, ukubwa wa habari zale katika vyombo vyote vya habari, salamu za rambirambi toka serikalini na hataraisi wa nchi kufika nyumbani kwa Kanumba Sinza ni ishara tosha kuwa mtu huyualikuwa ni mtu maarufu.
Binafsi ninapata shida na aina ya umaarufualio jipatia Kanumba; Mimi ni mmoja wa watanzania ninaye kerwa na aina yaumaarufu kama huo. Kwanza kabisa napenda ieleweke kuwa Kanumba alikuwa ni mzinzi maarufu naaliye waharibu watoto wadogo kwa kuwadanganya na fedha au ndoto za kuwa maarufukwa kupitia mlango alio waandalia yeye mwenyewe wa filamu.
Ni kwa sababu ya uganzi tulio naowatanzania ndio maana hadi sasa, tunabaki tukimlilia mtu huyo, mtu ambayealitakiwa awe gerezani miaka zaidi ya mitano iliyopita. Ni kweli kabisa Kanumbaalistahili kushitakiwa mapema sana kwa kosa la kumharibia maisha mtoto mdogo mwenye miaka kumi na hatakuwa na mahusiano naye kimwili yaanikumbaka Elizabeth maarufu kama Lulu. Mtu wa namna hii kwasheria zetu hapa Tanzania alistahili kifungo cha miaka sii chini ya thelathini gerezani
Wapo watu wanao hoji umri wa Elizabeth leo,hii ni aibu kwetu, tulitakiwa kuhoji umri wake miaka zaidi ya mitano iliyo pitawakati Kanumba akimtumia kwa faida yake na pia kumharibia maisha yake.
Kwa watetezi wote wa haki za watoto na hakiza binadamu hapa Tanzania ni aibu kubwa kwetu kwamba tulichelewa kiasi hichokuona jambo hili na leo hii badala ya Kanumba kushitakiwa anaye shitakiwa nimtoto Lulu kwa maelezo kwamba Lulu alikuwa mpenzi wa Kanumba na ndiye aliyemuua katika ugomvi unao tajwa chanzo chake kama wivu wa kimapenzi, ni linitaifa letu tulihidhinisha mapenzi ya jinsi hii?
Sitaki kumtetea Lulu kwa kosa la kuua kamakweli amehusika kuua; lakini napenda kuweka bayana hapa kwamba Lulu alitakiwa kutetewa kabla ya tukiohili kutokea, na pia tuna weza kusema kwa umri wake Lulu, hata tukio hili lakifo cha Kanumba ilikuwa ni jitihada zake binafsi za kujitetea na kujinasuakutoka mikono dhalimu ya Kanumba na wengine wengi waliokuwa wamemteka kimapenzibaada ya jamii na serikali yetu kufumbia macho uonevu alio kuwa anafanyiwa Lulu.
Ina sikitisha sana kujua kuwawatu maarufu walimjua sana Kanumba, viongozi wa serikali walimjua sana Kanumba,wabunge wetu walimjua sana kanumba, vyombo vya habari vilimjua sana Kanumba lakinikwa ajabu kabisa wote kwa pamoja tuliamua kufunga macho tusione mabaya hayaaliyo kuwa anaya fanya.
Napenda kuamini kuwa kwa mtu wa tabia kamaya Kanumba, alicho fanya kwa Lulu sii hicho tuu, wapo watoto wengi wadogo waliojificha na wasiothubutu kueleza machungu waliyo yapata kutoka kwa msanii huyo; huu ni wakati wawatoto hao kuwekwa huru; kwanza waruhusiwe kueleza kinagaudaga yaliyowasibu na pili wawekewe mazingira huruyasiyo waharibu katika mahusiano na watu maarufu mfano wa Kanumba.
Ni usalama wa kiasi gani walio nao watotowanao ingizwa katika filamu za watu wazima; watoto kama Elizabeth(Lulu) na wangine wengi je wapo salama? Ni nani anaye takiwa kuhakikishausalama wa watoto hao? Je ni wazazi wao tuu au ni jamii nzima?