Umaarufu wa baba wa taifa uliimarika baada ya kung'atuka (CCM wana la kujifunza)

JERRY

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
630
502
Kuanzia mwaka 1984 kurudi nyuma mwl nyerere kama kiongozi wa nchi alikuwa maarufu lkn si kama ilivyokuja kuwa baada
y a kung'tuka, na kudhibitisha hilo ndo mana kuna wkt mwl. Akiwa madarakani alitaka kupinduliwa yote ni kwa sababu mvuto wake ktk jamii ulianza kupotea na jamii kuona kero zinazidi na ufumbuzi haupatikani .tofauti na viongozi wote waliowahi kuongoza nchi hii pengine tangu kuwepo kwake wkt wa uumbaji mwl. Nyerere alijua namna ya kusoma alama za nyakati na akaamua kung'atuka mapema. Alistaafu angali watu wakiendelea kumhitaji. Viongozi wa ccm na hasa mawaziri ambao wameshindwa kutatua kero za wanachi jifunzeni kwa mwl.namna ya kusoma alama za nyakati msingoje nguvu ya umma kama yanavyotokea huko afrika kaskazini na kwingineko.
 
Back
Top Bottom