Ultimatum: Serikali ina siku 14 kutangaza mahakama ya Kadhi! - Wahadhiri

Status
Not open for further replies.
FP:

a. Mahakama za kidini Tanzania tayari zipo
b. Zinafanya kazi
c. Zinaendeshwa na waumini wenyewe
d. Maamuzi yake yanatambuliwa na nchi
e. Hazikuanzishwa na serikali, kufadhiliwa au kwa namna yoyote ile kujadiliwa bungeni. Zimeanzishwa by the very fact kwamba ni sehemu ya dini hizo.

Mkijiji, asante hapo ndo panapo shangaza kwanini wasichukue desa hapo? badala yake wanataka ivuruga nchi kwa kudai upendeleo uwe ni haki kwao?
 
Wengi tunafuatilia mijadala ndani ya Bunge, hivi karibuni tulimsikia Mh slaa akisema ataikwamisha bajeti ikiwa mashirika ya dini hayatafutiwa msmaha, lkn tunajua waliokuwa wanapiga kelele ni Dini Fulani. Kuhusu MAHAKAMA ya kadhi Mzee huyu na Kijana Huyu Kimya , Kuhusu Mkataba kati ya kanisa na Serekali kimya haibani serekeli na kutafuta nyaraka ili aibane govt, Kuhusu tamko la maaskofu kimya ? Kuhusu Vertican Kimya hata kutaka hayo majibu ya Ovyo ovyo hamyataki

Wewe mzeewahoja acha uzushi. Ina maana katika misamaha ya kodi kwa mashirika ya dini waislamu haiwahusu? Halafu Vertican ndo nini?
 
Mkijiji, asante hapo ndo panapo shangaza kwanini wasichukue desa hapo? badala yake wanataka ivuruga nchi kwa kudai upendeleo uwe ni haki kwao?

Yote haya ni kwasababu tu jamaa wanachukulia advantage ya rais kuwa mwislamu mwenzao. Mwinyi naye walimpelekesha hivihivi na kilichosaidia wakati ule ni Nyerere kuwepo vinginevyo hali ingekuwa mbaya kuliko hata sasa maana mzee wa ruhusa ilikuwa ruhusa tu. Nakumbuka siku moja alikuwa anahutubia mahali akasema "Wazee wangu wa kiislamu naomba mnisaidie" na hapo alikuwa anaongelea suala la kitaifa si katika shughuli za kiislamu. Yaani alifika mahali pa kuona kama TZ ni islamic republic.
 
waislam na mahakama ya kadhi hii ni chokocho ambayo nature hata iweje they never change, kwani wanavyodai je ya wakristo iko wapi wa Othodox ikowapi, hapa hata muanzishe mahakama ya mwanzo hadi ya rufaa baada ya hapo watakuja na kingine, wekezeni kwenye elimu acheni ujinga, wakati wengine tunaona ni dosari bajeti yetu kuwa tegemzi wao wanataka tuingie OIC ili tufaidi misaada , this is very funy
 
Yote haya ni kwasababu tu jamaa wanachukulia advantage ya rais kuwa mwislamu mwenzao. Mwinyi naye walimpelekesha hivihivi na kilichosaidia wakati ule ni Nyerere kuwepo vinginevyo hali ingekuwa mbaya kuliko hata sasa maana mzee wa ruhusa ilikuwa ruhusa tu. Nakumbuka siku moja alikuwa anahutubia mahali akasema "Wazee wangu wa kiislamu naomba mnisaidie" na hapo alikuwa anaongelea suala la kitaifa si katika shughuli za kiislamu. Yaani alifika mahali pa kuona kama TZ ni islamic republic.

Wewe hapa JF sio kwenye vijiwe vya dengerua,...ilikua hotuba gani ya mzee Mwinyi na aliitoa wapi na kusema hivyo kwenye jambo la kitaifa? chuki zenu kwa uislamu kunawafanya mpaka muanze kupika uongo kufurahisha nafsi zenu zenye choyo.
 
[/B]

unachofanya ndicho unamtuhumu mwingine. Kama jamaa kasema maneno ambayo hayana msingi katika ukweli muoneshe yeye.. don't project ur own biases toward other people kwa kujumlisha jumlisha. Kama yeye kapika uongo mwambie kapika uongo ukishaweka "chuki zenu" unawajumuisha kina nani? Chuki huwa hazishewi.
 
Yote haya ni kwasababu tu jamaa wanachukulia advantage ya rais kuwa mwislamu mwenzao. Mwinyi naye walimpelekesha hivihivi na kilichosaidia wakati ule ni Nyerere kuwepo vinginevyo hali ingekuwa mbaya kuliko hata sasa maana mzee wa ruhusa ilikuwa ruhusa tu. Nakumbuka siku moja alikuwa anahutubia mahali akasema "Wazee wangu wa kiislamu naomba mnisaidie" na hapo alikuwa anaongelea suala la kitaifa si katika shughuli za kiislamu. Yaani alifika mahali pa kuona kama TZ ni islamic republic.

Nyerere kawekwa na nani kama sio waislam waliomuweka? na ni Benjamin Mkapa, magula, Mrema nawenzako wengine ndowalilo liwafiki hili swala la Mahakama ndani ya CCM, waislam hawakuwai kumuogopa Nyerere wala mkapa
 
ifanywe research wanawake wa kiisalamu na wale na wanawake walioolewa na waislamu kama wanaunga mkono mahakama hii. Ni hisia zangu kuwa wabejing wa kiislamu hii issue hawaikubali
 
itambulike kuwa si mahakama za kidini tu. kuanzia kwenye familia, balozi, kijiji kuna mahakama au mabalza ya usuluhishi. sasa kila kabila au wale wafafalame wakitaka mahakama zao zijumuishwe kwenye seriali si itakuwa mchanganyiko wa mambo. Kabla ya kushabikia hizi mahakaa za dini tulizoletewa ingekuwa hoja nzuri zaidi na yenye nguvu kudai mifumo ya kisheria na kiutawala iliyokuwepo enzi za mababu zetu
 
unachofanya ndicho unamtuhumu mwingine. Kama jamaa kasema maneno ambayo hayana msingi katika ukweli muoneshe yeye.. don't project ur own biases toward other people kwa kujumlisha jumlisha. Kama yeye kapika uongo mwambie kapika uongo ukishaweka "chuki zenu" unawajumuisha kina nani? Chuki huwa hazishewi.

Nimekupata,...ingawa kuna baadhi ya watu wanakera na spin zao!
 
ifanywe research wanawake wa kiisalamu na wale na wanawake walioolewa na waislamu kama wanaunga mkono mahakama hii. Ni hisia zangu kuwa wabejing wa kiislamu hii issue hawaikubali

Tulipogombania uhuru wenzako walisema wakati bado waache wakoloni waendelee kutawala, lakini nikikundi kdogo cha watuhaohao waliamua kupigania uhuru, sasahivi nanyi manaona matunda yake.

Movement inaanzisha na wachache wenye upeo
 
Mkuu,

It depends on how you look at it; frankly, binafsi bado sijaona "matunda ya uhuru" ..... mishahara ya wakati ule ilitosha kukidhi mahitaji kwa mwezi mzima; actually watu waliweza kusave some money .... leo hii, mshahara hautoshelezi mahitaji ya siku tano!!

We're going down!!!
 
You may be right that we are going down, atleast tuko free, imebakitupambane na mafisadi wazawa, wale wazungu walikua hawaambiliki wao no mastre ilikua ni udhalili
 
FP:

Kanisa Katoliki lina Mahakama za Kanisa Katoliki ambazo zinasimamia na kila Jimbo. Mahakama hizo zinahusu mambo ya ndoa na ibada vile vile. Mahakama hizo zinaongozwa na Canon Law (Sheria ya Kanisa). Sheria ya Kanisa siyo sawa na Sheria ya Nchi (Civil Law).

Mahakama za Kanisa zina mawakili, na majaji na waendesha mashtaka. As a matter of fact neno tunalolitumia la diabolis advocatum (Wakili wa Shetani) msingi wake ni kwenye mahakama za Kanisa ambapo mtu anayetarajiwa kutangazwa mtakatifu anakuwa na wakili wa kumtetea na wakili ambaye atayaonesha mabaya yake (hence Wakili wa Shetani).

Mahakama hizo za Kanisa maamuzi yake yanatambulika kisheria za nchi kwani ni sehemu ya Kanisa Katoliki. Hivyo, Kanisa Katoliki likiamua kufuta ndoa (annulment) basi hiyo ndoa inafutwa hata kwenye sheria za nchi ( baada ya kufuata taratibu). Kanisa Katoliki likimfungia Askofu (kama ilivyofanya Same) askofu huyo ana haki ya kukata rufaa hadi kwa Papa (ambaye ndiye Jaji Mkuu na wa Pekee wa Rufaa). Maamuzi hayo hayawezi kuingiliwa na Mahakama za ndani.

Mahakama hizi Katoliki huendeshwa kwa sadaka za Wakatoliki wenyewe na michango kutoka kwa nchi nyingine.

Hata leo ukienda Jimbo la Dar kwa mfano na ukiuliza muundo wa Mahakama ya Kanisa jimbo la Dar utaambiwa na kesi mbalimbali ambazo zimewahi kufikishwa kwenye mahakama hizo na kutolewa maamuzi.

Kwa hiyo:

a. Mahakama za kidini Tanzania tayari zipo
b. Zinafanya kazi
c. Zinaendeshwa na waumini wenyewe
d. Maamuzi yake yanatambuliwa na nchi
e. Hazikuanzishwa na serikali, kufadhiliwa au kwa namna yoyote ile kujadiliwa bungeni. Zimeanzishwa by the very fact kwamba ni sehemu ya dini hizo.

well said mkuu!
 
CCM ni kupigwa buti tu ,wakiikubali wasiikubali ,wengi wechachoka nayo ,zinatafutwa sababu za kuzidi kuibana ili itoe wakimbizi wa kisiasa kutoka CCM kwenda upinzani ,njia ni hii hii wanayokwenda nayo waislamu ,mambo ni kugandamiza tu .

Sasa kama hawataipigia CCM kura watakipigia Chama gani mbadala kwa mujibu wa mtazamo wa wadai mahakama ya Kazi??
 
Tulipogombania uhuru wenzako walisema wakati bado waache wakoloni waendelee kutawala, lakini nikikundi kdogo cha watuhaohao waliamua kupigania uhuru, sasahivi nanyi manaona matunda yake.

Movement inaanzisha na wachache wenye upeo

This's trash! Unaweza kutoa orodha ya hao unaoclaim kwamba ni wapigania uhuru na dini zao?
 
Hivi Waislamu hawawezi kuanzisha Mahakama ya Kadhi mpaka serikali iseme ni lini? Mbona wakitaka kumchagua sheikh au kujenga msikiti hawasubiri tamko la serikali?

Shame on u

Wewe huwa unasubiri tamko la sirikali kujenga hekalu

Waliifuta na kuizuia ni hao sirikali sasa ni lazima waseme wao

Kwani wewe si ndio uliye ichagua CCM
 
Last edited:
Mzee Mwana wa Kijiji
Unaonaje ukipublish hii kwenye magazeti ya karatasi maana naona hii kitu imekaa vizuri sana kutufanya wengi tuelewe. Hli suala la kusema ni sehemu ya ibada ni muhimu ifahamike kama ni sehemu ya ibada moja kwa moja haimhusu mtu asiyeamini hiyo ibada au imani hiyo. Wakijua kuwa kumbe wakatoliki wanzo hizo mahakama labda watafuata nyayo kimya kimya speeda 120 yaani shaaa

FP:

Kanisa Katoliki lina Mahakama za Kanisa Katoliki ambazo zinasimamia na kila Jimbo. Mahakama hizo zinahusu mambo ya ndoa na ibada vile vile. Mahakama hizo zinaongozwa na Canon Law (Sheria ya Kanisa). Sheria ya Kanisa siyo sawa na Sheria ya Nchi (Civil Law).

Mahakama za Kanisa zina mawakili, na majaji na waendesha mashtaka. As a matter of fact neno tunalolitumia la diabolis advocatum (Wakili wa Shetani) msingi wake ni kwenye mahakama za Kanisa ambapo mtu anayetarajiwa kutangazwa mtakatifu anakuwa na wakili wa kumtetea na wakili ambaye atayaonesha mabaya yake (hence Wakili wa Shetani).

Mahakama hizo za Kanisa maamuzi yake yanatambulika kisheria za nchi kwani ni sehemu ya Kanisa Katoliki. Hivyo, Kanisa Katoliki likiamua kufuta ndoa (annulment) basi hiyo ndoa inafutwa hata kwenye sheria za nchi ( baada ya kufuata taratibu). Kanisa Katoliki likimfungia Askofu (kama ilivyofanya Same) askofu huyo ana haki ya kukata rufaa hadi kwa Papa (ambaye ndiye Jaji Mkuu na wa Pekee wa Rufaa). Maamuzi hayo hayawezi kuingiliwa na Mahakama za ndani.

Mahakama hizi Katoliki huendeshwa kwa sadaka za Wakatoliki wenyewe na michango kutoka kwa nchi nyingine.

Hata leo ukienda Jimbo la Dar kwa mfano na ukiuliza muundo wa Mahakama ya Kanisa jimbo la Dar utaambiwa na kesi mbalimbali ambazo zimewahi kufikishwa kwenye mahakama hizo na kutolewa maamuzi.

Kwa hiyo:

a. Mahakama za kidini Tanzania tayari zipo
b. Zinafanya kazi
c. Zinaendeshwa na waumini wenyewe
d. Maamuzi yake yanatambuliwa na nchi
e. Hazikuanzishwa na serikali, kufadhiliwa au kwa namna yoyote ile kujadiliwa bungeni. Zimeanzishwa by the very fact kwamba ni sehemu ya dini hizo.
 
You may be right that we are going down, atleast tuko free, imebakitupambane na mafisadi wazawa, wale wazungu walikua hawaambiliki wao no mastre ilikua ni udhalili

si ndio nyinyi mnaosema bora mafisadi lakini tuna Amani, mshikamano, tukiwatoa hawa tutakuwa na vita, tukiwauliza nani ataleta vita hata hamna majibu
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom