Ulokole kushney

kumbe iyo ndio inayowafanya watu wawachukulie ivyo...wao pia wanakosea coz hakuna mtu asiye na dhambi
1. Wanajitangaza kuwa wao ni wakamilifu.
2. Wanabagua wasio walokole kwa kuwadharau kuwa ni wadhambi.
3. Ni wanafiki.
4. Wana kiburi.
5. Wanahukumu wenzao.
6. Ni wadhambi wa kisirisiri.
7. .............................
8. ..........................
.
.
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom