Ulizeni aina za magari ya kununua; mtalia

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Hasa wale wa retrechment ama redenders ole usikurupuke kununu gari kisa shangazi wa mjomba ana gari mtalia...kabla ya kununua gari uliza uimara wake tafuta mafundi wazuri\watakuelimisha bure ...na kwa nini bure garamia.....
So hiyo itawasaidia kuwa free hata ukienda shaurimoyo uko comfortable sio unaenda unambiwa spare aipo duka moja mpaka ukuta wa mwisho

polen na mliosakiziwa yauzeni harak
 
samsonmfalila vipi kama nikinunua Toyota harrier unauzoefu au unajua uimara wake ukoje? nayapenda sana magari ya aina hii. naomba ushauri.
 
Vipi kuhusu 1G engines za Cresta GX100?
Ninaiuza ya kwangu ila bado naipenda kwa uimara wake.
 
Tatizo la watu kama wewew ni kutaka spare za kuchakachua scraper kutoka japan ambazo huna uhakika nazo na toyota spare party nyingi fake
 
gari zote nzuri. Inategemeana umenunuaje. Kama ukinunua scrap materials, hapo hata kama ina jina zuri vipi, utakuwa umejimaliza. Muhimu tafuta agent anayeeleweka agiza gari yoyote ambayo iko katika hali nzuri. Utaipenda sana. Hakuna ambayo ni bora kuliko mwenzake when it comes to driving.
 
Pia angalia - unaponunua gari hakikisha magari ya aina hiyo yapo angalau kwa wingi kidogo barabarani. Vinginevyo mambo ya vipuli yatakusumbua.
 
ninayo land rover 109 ya mwaka 1978 naiuza ipo Moshi barabara ya old Moshi kupitia kiboroloni
 
Hasa wale wa retrechment ama redenders ole usikurupuke kununu gari kisa shangazi wa mjomba ana gari mtalia...kabla ya kununua gari uliza uimara wake tafuta mafundi wazuri\watakuelimisha bure ...na kwa nini bure garamia.....
So hiyo itawasaidia kuwa free hata ukienda shaurimoyo uko comfortable sio unaenda unambiwa spare aipo duka moja mpaka ukuta wa mwisho

polen na mliosakiziwa yauzeni harak

Mbona unatisha watu Pdidy

sasa hivi issue ipo kwen ushuru wajameni TRA wamebadili mfumo wa utozaji kodi so ukiagiza gari nje, uwe unategemea kodi kubwa
 
kama nimeagiza gari kutoka ilikotoka how come nishindwe kuagiza spare yake? nanunua gari ninayoipenda si kwa sababu ya spare...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom