seems we are many! MAY OUR ALMIGHTY GOD GRANT US HIS BLESSINGS, MAY HE GIVE US A 1000 YEARS IN THIS WORLD, AND FINALLY OUR SOULS TO MEET IN HEAVEN, AMEN!!!!Happy birthday dude! Ishi sana uzeeke hadi tuwe tunakuanika na kukuanua! September is my month too!
Si ndio mimi namuuliza inakuwaje hakuna ma Laziest wala mazobast na Vilazasti?Mbona ni kusifu tuuuuu!
Nimekuelewa baba mchungaji Lol natania ila ni kweli coz hakuna watoto wakorofi coz wanazaliwa wakiwa wapole na wataratibu ila ukali na ukorofi wanausoma na kujifunza humu kwa duniaErichb52, sote tumeumbwa tukiwa wema (kwa sura na mfano wa Mungu). Ukorofi (disorder/distortion of goodness) umeletwa na yule mwovu akaupanda kwetu!
seems we are many! MAY OUR ALMIGHTY GOD GRANT US HIS BLESSINGS, MAY HE GIVE US A 1000 YEARS IN THIS WORLD, AND FINALLY OUR SOULS TO MEET IN HEAVEN, AMEN!!!!
Heheheeeeee atakuwa kwa BADILI TABIA coz niliona PM zao juzi kuwa wakutane Korogwe kwa kula raha nahisi ndio watakuwa huko....yan umod kazi ngumu sana hapa nawaza Amyner kamtumia PM Kaizer mh moyo kidogo upasuke aisee yan nataka niache kuchungulia PM za watu hasa wifeumeona eeeee?? umenionea wapi hubby wangu Asprin? sina amani tena na jamvi, ana siku tatu sijamtia kwenye kope zangu za macho, lol!