Umetafuta Fundi wa gari yako? Uliza chochote kuhusu gari lako

Ina chelewa kuwaka, inakosa nguvu , inakunywa mafuta mengi sana, inatoa moshi mwingi, imepoteza sound yake, ina R.kej ( inamwaga diesel or oil )....!
Suluisho lako ni shoo diesel service
Kutana nasi kwa matizo yote ya gari yako udumiwa nasi kwa ))))
Shoohenry5@gmail.com
Sim no. 0758277823
Karibu.!
1469967220485.jpg
 
Tunapatikana tabata dampo la zaman bonden mkabala na msikiti ila vizuri tuwasiliane mkuu
0758277823
 
Gari imekusumbua ujajua ufanyeje, matatizo kujirudia rudia, garama za kufanya service kwako zimekua kubwa na zinakuvunja moyo,
SHOO TRUCK DIESEL SERVICE
ndio suluhisho la tatizo lako. Tunatoa huduma zenye ubora na uwakika kwa matatizo yote ya gari yako, pia huduma zetu ni nafuu na rafiki kwa Wateja wetu.
Tunapatikana dar es salaam, tabata old dampo, pia kwa mikoani huduma zipo.
Kwa mawasiliano zaidi;-+255758277823
shoohenry5@gmail.com
1470723481697.jpg
 
Sifahamu kama unaruhusiwa kujitangaza, ila nado hujaweka sawa. Je mnatengeneza gari za diesel tu? Na je ni mikoa gani huduma zipo na namba zenu. Maana sehemu kubwa mafundi tunawajua ni wezi mnatuibia ktk service zenu. Mafundi wengi mnalipua kazi. Mimi sasa siamini sana mafundi, nahisi nikipata tatizo bora niende kwa agent (mfano Toyota) nilipe gharama kubwa ila huduma ni ya uhakika. Kwa hiyo wewe kama unataka kuwa agent unahitaji maoni toka kwa wateja (wenye magari) ijue kitu gani wanahitaji.
 
Nipo Mwanza mjini nimevutiwa na huduma zenu,km mna ofisi au mafundi wenzenu mnaowaamini naomba utoe maelezo niwaone
 
Back
Top Bottom