Uliza chochote kuhusu DUCE

Wakuu habari zenu. Baada ya TCU kuachia first batch, niko hapa kujibu maswali na kutoa hints kadhaa kwa ndugu zangu first year wanaokuja DUCE.

Dar es salaam University College Of Education (DUCE) ni tawi la UDSM, tawi lingine ni MUCE iliyopo mkoani IringaIringa. DUCE ipo Chang'ombe - Temeke.

MAKAZI:
Kwa ufupi maisha yako poa sana, Uamuzi ni wako kuishi hostel au kitaa(getho) kuna hostels tatu 1. In-vampus, 2. Mabibo(wanashea na udsm) 3. Mbagara hostel, usalama upo kwa kiwango cha kutosha na mazingira ya kujisomea pia ni conducive.
Gharama za hostel znarange 40k-110k per month

MSOSI:
Kuna cafeteria za ndani bei ya chakula inarange kwenye 1200-2000 na nje wali nyama hadi 1000,

Nawapongeza sana kwa kupata nafasi hii adimu na karibuni sana Chuo kikuu.
Kama una swali lolote feel free kuuliza, I'm continuous student at DUCE
Karibu.
(Updates: Nitext wasap: 0765961152 nikuunganishe kwenye grup la wasap la Team Duce 2016)

Download hii attachment mkuu. Majina ya UDSM, DUCE, na MUCE huwekwa sehemu moja

Haya ni majina a UDSM tunataka DUCE ama hichi chuo ni kimoja? tufafanulie mkuu tunaomba
 
wakuu mbona majina hayafunguki yote!?tatizo lipo wap!
 
Umesema uulizwe chochote juu ya duce. Nami nimekuuliza , wewe ndio msemaji wa duce? Toa jibu si umesrma uulizwe chochote, ?

Ndomaana nikakuambia badala ya kunusa tu title na kukurupuka, pitia tena andiko langu hapo juu
Au lugha nayo tatzo?

Nawapongeza sana kwa kupata nafasi hii adimu na karibuni sana Chuo kikuu.
Kama una swali lolote feel free kuuliza, I'm continuous student at DUCE
Karibu.
 
Mmh. Kwani tatz ni nn, ikiwa kila mwaka wanaingia watu wapya? Inamaana duce wanachaguliwa watu waaina hyo tuu. Sitaki kuamini mkuu!

Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app

Ukifika vimbweta vya library ,mdegree , peasant , magazetini kote kumejaa semester nzima . Yaan watu hawa relax mkuu. Hiv ndio usomaji gan ule
 
I'm continuous student at DUCE
Daaah! Kama nyie ndo walimu basi hakuna chochote hapo. Kulikua na haja gani ya kuandika Kingereza ambacho hukijui vizuri? Ungeandika tu Kiswahili.
 
pamoja na kusoma kote huko bado nakumbuka dokta flani alikamata nusu ya darasa l letu
 
I'm continuous student at DUCE
Daaah! Kama nyie ndo walimu basi hakuna chochote hapo. Kulikua na haja gani ya kuandika Kingereza ambacho hukijui vizuri? Ungeandika tu Kiswahili.
Kuna tatzo gan kwny hyo sentence mkuu, mbona unatokwa povu?
 
Back
Top Bottom