Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

ah nawe umezidi bwana.mtu kabip tu we unapiga kabisa???acha hayo mambo bwana kha!sasa humu si utadanganywa sana kama ukiwa hivyo!JF bwana kuna watu wanafurahisha kweli

sijazidi mkuu, sema hiyo ndo hali halisi. mi naona alinifanyia roho mbaya tu. Mia
 
hapo pa wa kulipizia, unajua there are very few foolish women? (sijasema figganigga anad the likes ni fools)
wanawake wanajua kusoma alama za nyakati mapemaaa!

hakuna mwanamke asiye danganyika kwa mwanaume. atarukaruka lakini mwisho wa siku ananasa kama sio kwangu kwa mwingine. Mia
 
Kakusaidia kufika Zanz na kufanya utalii wa ndani, Vipi ulifika mpaka Nungwi? Ulijaribu kula rojo?

Siku igine uwe makini, si kila king'aacho ni dhahabu, take care.

alinisiaidia. nlikuwa sijawahi panda boti. mia
 
Na wewe Figganiga mpaka umfungie mtu safari ulikuwa serious kiasi gani,lol
siku nyingine utakumbana na lidume linakuchota akili yako tu

mimi huwa nikipenda nimependa. na ninapo ongea na mtu mzima mwenzangu nakua serious kama hivyo. lakini vile nawezi kufanya kitu ambacho wakikuambia kafanya fagganigga hauta amin. watu kama hawa ndo wanatufundisha tabia mbaya. habari gani dada angu?. Mia
 
polee kakaaa!!duh..ungeenda zako bustani ya forozaniii ulee zako maurojoo na viseheti,nawewee unamzugaa hahaha,ivi ulizani kweliii nimekujaa znz wakati na juaa mambo ya jf afuuuu unakausha,japo karoho kataumaa,inaumaa zaidi ka umetoka mwanza hadi znz kisaaa bintiii

asante dada. nakuambia siku hiyo nlikua mdogo kama piriton, hayo mawazo hayakuwepo. Mia
 
Kwani hela imiesha? Si umfuate huko Arusha alikosema yupo? Au ndo humuamini tena? Unaniangusha kwa jinsi unavyokata tamaa mapema. Keep chasing her until she is in your hands!

kilichobaki sasa ni yeye kuntafuta sio mimi tena. Mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom