Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

MIA unavyoonekana mjanja fulani kumbe na wewe umeingizwa kingi?? Mnajifanya mnajua kucheza na vichwa vya wanawake ila wanawake wanaoamua kuwakomeshea wanawakomeshea kweli kweli japo ni wachache wanaofanya hvo. Poyeeeee MIA
 
ndo maana nakuogopa. kumbe na wewe huwa unakomoa wavulana eeh? ndo maana sijawahi kutongoza msichana jf.
 
eeehh,hutaniwi?wake za watu hao!!!!hivi kumbe humu JF kuna watu wakware hivi?me najuaga humu ni kutaniana tu
 
pole sana ndugu yangu huo ndiyo uanaume,tunajifunza kutokana na makosa usikata tamaa wasiliana naye tena,huyo hakuwa Arusha shetani mkubwa huyo , huyu alikuwa hapohapo Zanzibar isipokuwa alikuwa na jemba mwingine,hawa wadudu ni waajabu sana.
 
We nawe. . .nilikuwepo tangu asubuhi ila nakaribia kuondoka sasa. Kama ntakuwepo kesho ntakushtua uje pale Shell kuna cafe pembeni utanikuta.
Teheeeheee tatizo pale joto sana, halafu computer zao zote vioo vina ukungu na makengeza, halafu kuna joto sanaaaa! Wanatumia vifeni vya shingo tu!
Poa nitakusubiria mlangoni mpeni kidogo ya wauza Luku!
 
ndo maana nakuogopa. kumbe na wewe huwa unakomoa wavulana eeh? ndo maana sijawahi kutongoza msichana jf.

Uendelee kuniogopa hivyo hivyo, ukilogwa ukajifanya kichwa nazi ukipita anga hizi siku hyo utarudi kwenu bila nguo wala viatu.....,ukiona hii user name geuza macho yako au ufungue thread nyingine!!!
 
Teheeeheee tatizo pale joto sana, halafu computer zao zote vioo vina ukungu na makengeza, halafu kuna joto sanaaaa! Wanatumia vifeni vya shingo tu!
Poa nitakusubiria mlangoni mpeni kidogo ya wauza Luku!

Well mi ndo nnayoweza kuafford. . . ile iliyoko ndani ya jengo la CRDB ghali sana, japo pc zao zinavutiana chumba ni full kiyoyozi.

Poa nikiwepo ntakushtua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom