Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

Da kweli wako wapendao hata mlio tu. Kuna wakati nilikuwa sikosi yale majarida ya vikaragosi basi jamaa kapiga simu ofisi nyingine ile kusikia sauti tu akapagawa. Ikawa kila siku jamaa lazima aongee na mgeni ikawa mihadi wakakutana! Jamaa hakuamini aliyesimama mbele yake! King Kong mrembo! Njia alopita haijaota majani todate. Pole kaka ilikuwa unaonyesha urijali wako.
 
kaka mimi ilinikuta facebook. Nilifunga safari mpaka dar nikapangiwa na hoteli ya kufikia. Mpaka saa sita usiku mwenyeji haonekani bt akinipa moyo yuko harusini atakuja,hakuja mpaka kumekucha! Yani tunavyoongea sa ivi ufacebook nimeacha
 
Hellow! jf
Huyu binti nilikuwa nawasiliana nae kwanza kwa pm. hadi tukapanga nae niende kumtembelea zanzibar. Jmos iloisha nikafunga safari hadi bandalini. Mpango ulikuwa ni kwenda nilale huko. Nikampigia simu ya kwamba napanda boti ya saa nane na akaahidi kuja kunipokea bandali ya zenj, Cha ajabu nilipofika zenji na kumpigia simu akanijibu "HIVI UMEENDA KWELI? MWENZIO NAKAA ARUSHA. YALE NI MAMBO YA JF BANA FIGGANIGGA, MI NKAJUA WANTANIA ATI!. POLE SANA".Akamalizia na kicheko!. Nimfanyeje huyu jaman?. Mia

Siku nyingine uwe makini na mialiko ya kulazimisha.
 
kaka mimi ilinikuta facebook. Nilifunga safari mpaka dar nikapangiwa na hoteli ya kufikia. Mpaka saa sita usiku mwenyeji haonekani bt akinipa moyo yuko harusini atakuja,hakuja mpaka kumekucha! Yani tunavyoongea sa ivi ufacebook nimeacha

Kumbe wa hanga mko wengi?
Poleni. . . au sijui niwacheke. ., ?
 
kwa style hii wataingizwa mkenge wengi tu hapa JF na mitandao mingine ya jamii...; wapo wanaongia gia kwa porojo tu, wengine flirting, wengine majina, wengine avatar, wengine picha etc
 
Kumbe wa hanga mko wengi?
Poleni. . . au sijui niwacheke. ., ?
tupo wengi kweli, wengine wanaona aibu kutoa ushuhuda. ama kuna mwengine mnapanga kuonana ukitarajia ndo alivyo kwenye picha., ila akija utaona ni king kong mrembo kama alivyosema mdau huko mwanzo.
 
kaka
mimi ilinikuta facebook. Nilifunga safari mpaka dar nikapangiwa na
hoteli ya kufikia. Mpaka saa sita usiku mwenyeji haonekani bt akinipa
moyo yuko harusini atakuja,hakuja mpaka kumekucha! Yani tunavyoongea sa
ivi ufacebook nimeacha
Ulikuwa huna mpenzi? Kama ulikuwa nae tayari ulichopata stahili yako.
 
tupo wengi kweli, wengine wanaona aibu kutoa ushuhuda. ama kuna mwengine mnapanga kuonana ukitarajia ndo alivyo kwenye picha., ila akija utaona ni king kong mrembo kama alivyosema mdau huko mwanzo.
Nashindwa kuelewa inakuwaje mtu anakuacha usafiri huko kote kama hana mpango wa kuonana nae. Kama ni utani ulitakiwa uishe baada ya wewe kusema ungependa kumtembelea.

Hahahha. . . kwahiyo huwa wanakua tofauti kwa maana ya kwamba picha hazikua zao au mapozz na photoshop zinawapendezesha zaidi ya kawaida?
 
Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom