Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Hellow JF

Huyu binti nilikuwa nawasiliana naye kwanza kwa PM.

Hadi tukapanga naye niende kumtembelea Zanzibar. Jumamosi iliyoisha nikafunga safari hadi bandarini.

Mpango ulikuwa ni kwenda nilale huko. Nikampigia simu ya kwamba napanda boti ya saa nane na akaahidi kuja kunipokea bandari ya zenj.

Cha ajabu nilipofika zenji na kumpigia simu akanijibu "hivi umeenda kweli mwenzio nakaa Arusha.

Yale ni mambo ya JF bana figganigga, mi nkaja wantania ati, pole sana".

Akamalizia na kicheko.

Nimfanyeje huyu jamani?
 
Hahahahaha lol umewezwa kweli this time...achana naye tu si mambo ya JF au ulikuwa na mipango mingine nini?
 
Umfanyeje kwani unamdai?
Ndio dawa ya kukurupuka hiyo. . . kila siku na thread za "nikamzimia, nikamtukana, sasa namtaka". Kwa style hiyo only a fool would take you serious. . . too bad you haven't met one yet.
 
Hahahhahahahahahahahahah bro pole sana bro ndo sosho netweking hiyo mweeh!
It‘s nt funny bt yeah it‘s hillarious and pitiful at the same tym!
 
Umfanyeje kwani unamdai?
Ndio dawa ya kukurupuka hiyo. . . kila siku na thread za "nikamzimia, nikamtukana, sasa namtaka". Kwa style hiyo only a fool would take you serious. . . too bad you haven't met one yet.

mmmmmmhhhh haya bana,huyo ndo Lizzy in her originality! Tough talking ,soft inside,always they are.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom