Uliyesoma computer science

Njoo ucc tukamuwe kaka kwani we uko wapi ucc wanataka pass tatu wewe umezidi tatu una sifa za kutosha karibu ucc
 
umepata F kwenye Maths na hii ndo muhimu kwenye CS, rudia mtihani. Wakikuchukua popote jua wanataka pesa yako tu.
 
dogo achana na njia za mkato zitakucost baadae hiyo ucc utapoteza muda tu and at last utakuja kupata cheti with good grade lakini kichwani ukiwa mtupu. Ukikosa chance DIT nenda tu ukasome arts. Computer science unavyoisikia nje na ukianza kuisoma ni tofauti kabisa na ulichokitegemea
 
nimepata hiv PHY=D CHEM=D BIOS=D MATH=F GEO=C LANG=C CIV =B KISW=D NA HIST =C JE NNAWEZA KUJIUNGA NA CHUO CHOCHOTE KUXOMA COMPUTER SCIENCE COZ NDO ILIKUA NDOTO YNGU NA NDO NA INTEREST NA COMPUTER N MPKA WANAFUNZ WENZANGU WALINIITA HACKER..XO PLZ NIXAIDIENI

kozi ya computer science nenda ifm,kampala na iaa ila kozi ya computer science kwa tanzania hailipi sana ni heri ukasomeee kitu kingine
 
njoo ucc tukamuwe kaka kwani we uko wapi ucc wanataka pass tatu wewe umezidi tatu una sifa za kutosha karibu ucc
ww acha kumuingiza mwenzio chaka.........ucc ndio chuo miyeyusho....hata chuo hakina hata vigezo..........kuna dogo nilipiga nae field katoka uccc.......yani hamna kitu....mzeee beda anakula pesa zenu buleeee
 
ebana...uckonde hyo unasoma kabsa wangapi walianzia chini na kupanda hadi kleleni na sasa hawshkiki. pamoja na hiyo kacheki na muvi ya moja inaitwa..GIFTED HANDS. Its based on true STORY! utaona kwamba inawezekana.........................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom