Uliyataka Mwenyewe

Daaah..siku ukipikwa huo ubweche watoto tulikuwa hatuchezi mbali..halafu ukimaliza kula hunawi mikono ili ukalingishie watoto wenzako kwamba kwenu mmekula kitu cha mpunga.
 
Kuna jirani yetu ambapo kwao wakipika cheche (wali), alikuwa anabandika tangazo mlangoni kwao TUMEHAMA.
 
19983.gif


Huyo mtoto anapata shida sana Baba yake kwa jinsi alivyo!
 
I don't see anything embarrassing. The guy is jovial but seems to be a bad dancer that's all. The kid is asking for ice cream.
 
Dah kaka pic yako hata cielewi, maelezo kidogo yanahitajika. I the mean time jamani nimekosa captation ya hapa
077.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom