Ulishawahi kukumbana na vitimbi vya kichawi? Soma hapa

UCHAWI? Hamna kitu kama hicho. Kila tukio lina scientific explanation. Ni kufikiria na utapata jibu. Fanya uchunguzi na utapata jibu. But UCHAWI!!!!!! It is a phenomenon ambayo you cant prove. Be scientific and you will find an answer to your experiences.

Mass and energy are both but different manifestations of the same thing - a somewhat unfamiliar conception for the average mind.
 
Uliza kijijini kabisa home of domicile kwa Nape Nnauye..

Panaitwa Nyangamara (Division)... Kuna uchawi.. We hata uwe msomi namna amini uchawi upo! Ila faida yake haijawahi kujulikana.. Maana ni kazi ya kusumbua watu wasio na kinga na uchawi,ziwe za kienyeji ama za kiimani..

Kuna mabati kupiga kelele,kujikuta umelala juu ya mti,umelala nje,kuota unafanya mapenzi na mtu ambaye unamfahamu hata kama humpendi na hamna mazoea.. Na mengine mengi..

Kutumiwa nyoka ukiwa umelala usiku,saa nyingine unaamka na kujikuta yumo kwenye shuka moja na lako.. Walimu na watumishi wengine hawamalizi mwezi,wanahama...

Hakimu alipata kufariki few days after kumfunga mtu kisheria kabisa.. Mwingine alihukumu few days after akaugua wakamshughulikia masuala ya kienyeji alipopona alihama.. Sasa hivi mahakama jengo linataka kudondoka,popo kibao.. Shule hazina walimu,kuna zahanati haina watumishi..

Pamezalisha wasomi kadhaa ila hawajengi kwao wakishatoka kuogopa kulogana,kuna wengine wamepata kuwa hadi wakuu wa mikoa,ila wanarudi wakati wa misiba. Kwa kuwa hawana nyumba,hawalali.. Wanaenda kulala hata Lindi takribani kilomita 300..!

Uchawi upo,ila faida haijulikani..
 
jamaa na nyinyi ni watata vituko vyote hivyo bado mliendelea kukomaa
 
Uchawi upo!
Uchawi haipo ila kilichopo ni manifestations za powers kufanya the imposibles ndizo zinaitwa uchawi. Hata hizo zinazoitwa nguvu za Mungu, nguvu za giza, shetani, ibilisi, malaika, mizimu, wanga, wachawi, waganga, mafundi etc, its all the manifestations za powers to make things happen beyond normal, that is paranormal ina ina scientific explanations ila kiafrika wanafanya siri as a results tunaishia kulogana wakati wenzetu wana documents na kuishia kuvumbua!. Hivi mnaamini mpaka leo hata kutengeneza just a toothpick hatuwezi?!.

Hayo ya mtu kusogezwa toka alipo inaitwa levitations hakuna uchawi wowote hapo!.
 
Cha muhimu hawajawapanda manake duu sijui hata kama hadithi mngesimulia
 
Hakuna uchawi katika Israel, ukikuta unapata mikasa kama hiyo wewe ni mmataifa na inabidi ujiweke wakfu upya mbele za Mungu. Acha kuwa na dhambi rafiki na kujifanyia kama mazoea.....katika hali kama hiyo shetani hataacha kutuma mapepo yake yakujaribu kama hivyo! Kuna siku waweza kujikuta uko uchi katikati ya kariakoo asubuhi saa 2.....hapo utaisoma namba
 
Muulizeni Nape home of domicile,kwao ndiyo atakueleza..

We Pasco si unapataga muda wa kukutana na watu kama hao? Pata muda chat naye...@ Pasco
 
Uliza kijijini kabisa home of domicile kwa Nape Nnauye..

Panaitwa Nyangamara (Division)... Kuna uchawi.. We hata uwe msomi namna amini uchawi upo! Ila faida yake haijawahi kujulikana.. Maana ni kazi ya kusumbua watu wasio na kinga na uchawi,ziwe za kienyeji ama za kiimani..

Kuna mabati kupiga kelele,kujikuta umelala juu ya mti,umelala nje,kuota unafanya mapenzi na mtu ambaye unamfahamu hata kama humpendi na hamna mazoea.. Na mengine mengi..

Kutumiwa nyoka ukiwa umelala usiku,saa nyingine unaamka na kujikuta yumo kwenye shuka moja na lako.. Walimu na watumishi wengine hawamalizi mwezi,wanahama...

Hakimu alipata kufariki few days after kumfunga mtu kisheria kabisa.. Mwingine alihukumu few days after akaugua wakamshughulikia masuala ya kienyeji alipopona alihama.. Sasa hivi mahakama jengo linataka kudondoka,popo kibao.. Shule hazina walimu,kuna zahanati haina watumishi..

Pamezalisha wasomi kadhaa ila hawajengi kwao wakishatoka kuogopa kulogana,kuna wengine wamepata kuwa hadi wakuu wa mikoa,ila wanarudi wakati wa misiba. Kwa kuwa hawana nyumba,hawalali.. Wanaenda kulala hata Lindi takribani kilomita 300..!

Uchawi upo,ila faida haijulikani..

Ipo wilaya gani hiyo?
 
Asiyeamini uchawi halogeki hata kwa lolote and uchawi upo kwenye mawazo yetu... Our minds and thoughts can make us illutinate and see things that dont really exist at all...this is what i read kwenye kitabu flani cha "the black magic"... Simkumbuki author mpaka ni google.. Ila sema katika jamii zetu hizi mmmh sijui...
 
UCHAWI? Hamna kitu kama hicho. Kila tukio lina scientific explanation. Ni kufikiria na utapata jibu. Fanya uchunguzi na utapata jibu. But UCHAWI!!!!!! It is a phenomenon ambayo you cant prove. Be scientific and you will find an answer to your experiences.

Mass and energy are both but different manifestations of the same thing - a somewhat unfamiliar conception for the average mind.

Kama unaamini Biblia amini uchawi upo
Lakini pia kuna nguvu inayozidi uchawi.
Soma
Kutoka 7:11-12
Kutoka 22:18
kumb:18:10-11
Daniel 5:7 na
Matendo 13:6-12
Ni hiyari yako kuamini au kutoamini ila kikubwa ni KUAMINI NGUVU INAYOSHINDA UCHAWI.
 
Duh! Pole sana mkuu. Mbona hivyo vya kwako ni vidogo? nikikuhadithia vya kwangu unaweza ukajikuta unabaki mdomo wazi kwa mshangao
 
Hebu mwaga nyuzi pliz,maana kuna watu hawaamini wanafikiri wakisema yapo basi watakuwa wanaunga mkono hayo masuala
 
kimbilio ni kwa Mungu na hakuna aliye mkuu zaidi yake. mwenye uweza na nguvu kuliko yeye. . .
 
Kama unaamini Biblia amini uchawi upo
Lakini pia kuna nguvu inayozidi uchawi.
Soma
Kutoka 7:11-12
Kutoka 22:18
kumb:18:10-11
Daniel 5:7 na
Matendo 13:6-12
Ni hiyari yako kuamini au kutoamini ila kikubwa ni KUAMINI NGUVU INAYOSHINDA UCHAWI.

like ya simu. Iongezee kwenye list yako ya like. Sasa najua tupo wengi wanaomwani Kristo Yesu humu ndani
 
mi ninavo viwili visanga, cha kwanz nilihamia nyumba flani huku njombe, dah usiku nlikuwa nasiki watu wanafagi darini, mara vishindo usiku n.k, what follows; nli ikimbia nyumba huku naipenda then hata kodi yangu sikuidai.
kisnga ch pili.....wiki moja baada ya kupandishwa cheo kazini lili ingia bonge la JOKA ofisini kwangu hakuna aliyejua wapi limetokea, tulilitafute tuliue wapi, hatuja liona tena mpaka leo,nilipowauliza uliza watu, jama yangu akanambia usiwaogope wachawi mikwara tu, hakuna cha joka wala nini mazingaombwe tu, wanataka uogope uachie ofisi, na usiwachie wachawi wajinga sana....hadi leo nakula gud tyme aseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom