Ulishawahi kujiaandaa kumpiga chini, naye anakupga kibuti!!!!"

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Kwangu ilinitokea,

Nilifurahi kimoyomoyo... cijuw nae alikasirika au alifurahi!

JE WEWE IMEWAHI KUKUTOKEA???
 
Kwangu ilinitokea,

Nilifurahi kimoyomoyo... cijuw nae alikasirika au alifurahi!

JE WEWE IMEWAHI KUKUTOKEA???

duh! Mkuu kama umenilenga mimi vile! Imenikuta juzi kushinda jana! Nimemchunia kumpigia et na yeye hajapiga hadi sasa! Yani nimefurahi ile mbaya!
 
duh! Mkuu kama umenilenga mimi vile! Imenikuta juzi kushinda jana! Nimemchunia kumpigia et na yeye hajapiga hadi sasa! Yani nimefurahi ile mbaya!

kwwiiiiii kwiiiiiiiii.

mi aliniomba tuhelaa, tu-elfu hamsini, mi nikakaa kimyaaaaa........

nazuga, yes, na yeee akaingia mteegooni.. kwishney!!!!!!
 
Hahahaaa....vipi ile mtu anajifanya kutingisha kiberiti kwa kusema,' Mi nshachoka kama vipi tuachane'...kisha unamjibu,'Freesh,kwani kitu gani..' then unapiga kimyaa,kumbe ulikuwa unasubiriiiiiia hilo moment hapo full shangwe.. Baada siku chache partner haamini kilichotokea na misamaha millioni eti alikuwa anatania....#Anasahau kuwa matapishi hayalambwii!
 
ilinitokea na iliniuma sana. Kuna dada nilikuwa naye baadaye nikaanza kufukuzia ngoma mpya. Nikiwa kwenye harakati nikaanza kujiandaa kumuacha yule wa1 kwani huyu wa2 alionyesha kukubali. Kumbe yule wa kwanza naye alivyoona mabadiliko akabindi pembeni na mi akaniacha,kwenda kwa mwingine na ye amegeuza kibao. Aisee ilinitesa.! Nilikaa mwaka mzima bila kuwa na gf. Ni kama aliniharibia nyota.
 
Back
Top Bottom