Ulishasikia hii:Simba amlea mtoto wa swala

Mwana kinyonga

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
377
216
Hii ishu nliickia kupitia bbc swhl then nikaiona aljazeera na cnn!Ilitokea pande za kenya baada ya simba jke kuonekana na mtoto wa swala bila kumtafuna huku akiwafukuza simba wengine kumsogelea.Mwisho nilitatizwa maana ckuwah kupata feedback ya after 2kio.Watu ninapowacmlia hili 2kio wanakata kabsa,je nanyi wanaJf?
Nawasilisha
 
Hata mimi nilishaiona ktk mojawapo ya chanel za DSTV,sikumbuki ni chanel gani,lakini mwisho wake simba alimla yule swala.
 
Back
Top Bottom