ulishakutana au kuwaona viumbe wa namna hii?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853
:unakuta anajifanya busy for nothing.
:ukipisha nae ukamsalimia anajifanya kuuchubua.
:kama umezoeana nae ukamsalimia anakujibu halafu anaongezea nipe hela ninunue kitu fulani
:ukiongea nae kwa mala ya kwanza anajifanya matawi ya juu.
:ukimuulize kuhusu mpenzi wake anakuambia yupo single, ukikaa nae mwezi 1 simu yake unaanza kukuta msg za mapenzi.
ukimuuliza anakujibu kwa hiyo unatakaje?
ulishawaona viumbe wa namna hii?hata kwenu wapo?je tuishi nao vipi?
mia
 
Ukimuuliza anakujibu kwa hiyo unatakaje?
Ulishawaona viumbe wa namna hii?hata kwenu wapo?je tuishi nao vipi?
Mia
mimi hapa no comment_maake sielewi kabisaaaaaaaaa.
 
Mwingine ukimtongoza anaanza kukuambia alishawahi kuwa celebrities....ukimwacha hataki.
 
mi sijaona tatizo hata kama wapo ..maisha ni kuchagua
kuhusu kuomba hela ..kumbuka mjini mipango kajisemea joti
 
anakuomba hela ya soup kesho asubuhi.ukimpa elfu20 anakuuliza hii tu?
 
kwani usawa huu unategemea kukuta mtu yuko single kweli?
Kuliko awe single atatafuta hata wa kuzugia. Kama hadi watoto wa std 7 wako kwenye uhusiano, nani yuko single sasa?
 
Mwingine ukimtongoza anaanza kukuambia alishawahi kuwa celebrities....ukimwacha hataki.

anasema unaniachaje wakati umeshanichezea na kuniharibu?ukiangalia kwa makini unakuta ulikutana nae kashaharibika.
 
:unakuta anajifanya busy for nothing.
:ukipisha nae ukamsalimia anajifanya kuuchubua.
:kama umezoeana nae ukamsalimia anakujibu halafu anaongezea nipe hela ninunue kitu fulani
:ukiongea nae kwa mala ya kwanza anajifanya matawi ya juu.
:ukimuulize kuhusu mpenzi wake anakuambia yupo single, ukikaa nae mwezi 1 simu yake unaanza kukuta msg za mapenzi.
ukimuuliza anakujibu kwa hiyo unatakaje?
ulishawaona viumbe wa namna hii?hata kwenu wapo?je tuishi nao vipi?
mia

nshakutanaga nao hao.mia
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom