Uliomba mkopo? Soma hapa..

Kwa mujibu wa taarifa nyeti ZILIZOTHIBITIKA, bodi itatangaza Loan Allocations kwa Selected Applicants jumatatu hii ya tarehe 3, september. Kila la kheri kwa siye maskini tutegemeao mikopo
mkubwa jumatatu haijafika au??
 
it was a typing error, ni JUMATANO 5th Sept. Na si Jumatatu 3rd Sept. Sorry for incovinience
 
it was a typing error, ni JUMATANO 5th Sept. Na si Jumatatu 3rd Sept. Isome tena post, BUT Sorry for incovinience
 
it was a typing error, ni JUMATANO 5th Sept. Na si Jumatatu 3rd Sept. Sorry for incovinience
sasa unadhan nani ataamin upuuzi kama huu!!! yan error ndo unaiona leo kwa nini hukuiona jana?? sasa kijana skiza kama huna uhakika na kitu better usiandike kitu humu,utafanya watu wasikuamin maisha yako yote hapa dunian....NARUDIA TENA KAMA HUNA UHAKIKA KAA KIMYA NA SIO KUTIA WATU PRESHA HUMU!!!!
 
it was a typing error, ni JUMATANO 5th Sept. Na si Jumatatu 3rd Sept. Isome tena post, BUT Sorry for incovinience

Sawa mkuu,yetu macho. Siku nyingine utafakari kabla ya kuweka kitu humu,utapoteza uaminifu kwa wanaJF. Ila vipi anko kakuambia umepata ngapi?
 
hata iwe next month itafika tu hakuna tabu wacha nijikate kule Jocks nikapunguze stress
 
punguzeni presha vijana mkopo mtapata tu karibu tupate kilimanjaro baridi pande hizi
 
Mkuu Pokofame vipi? Jumatano ilikuwaje? Au ndo umeamua kusepa kimyakimya? Embu rudi jamvini ujieleze,haina haja ya kupiga kimya wakati heslb hawajatema kama ulivyosema. Ututake radhi mara moja.
 
zilizothibitika
sasa ngoja nikwambie kitu mkuu....kwanza lazima ukubali wewe ni MUONGO na MROPOKAJI plus MKURUPUKAJI....ulisema j3 si ilifika??? ukasema tena j5,si imefika na imepita??? sasa unataka kusema nini ili tuamini wewe sio MWONGO WALA MROPOKAJI!!!! lazima ujifunze katika maisha hamna kitu kibaya kama kusema uongo na kutokuaminika na jamii!! sasa kama mimi niko mahali unadhan ukija ntakuamini tena kwa uongo huu uliopitiliza...
SASA baada ya hayo..ni lazima ukubali umekosea wengi humu ndan kwa kusema vitu usivyokua na uhakika navyo...kama kwel unafikiria kwa kutumia kichwa ni vyema ukaomba radi kwa wana JF HASA KWENYE JUKWAA LA ELIMU...LAZIMA UJUE KWAMBA SIO LAZIMA ILA NI MWIMU HASA KWA IMAGE YAKO HUMU JF!!!! Nawasilisha....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom