vijana wote wapambanaji msibaki nyuma kwa hili..mavazi yao yasitutishe Mungu wetu atutetee,nipo maeneo haya naona move yote,freedom is coming soon.
Acheni fujo,hazitawafikisha popote zaidi ya kuwaudhi watanzania wengine wanaopenda haki,
Kama kukamatwa kwake ni kinyume cha sheria,hiyo itajulikana mahakamani,
Sidhani kama watu wanaweza kuvunja kituo cha polisi ili kumtoa Mbowe,mtapoteza hata kuungwa mkono na mashirika na taasisi za haki za binadamu.
Naomba kuuliza wanajf na wanachadema kama mbowe atauwawa kwenye harakati hizi mtafanya nini?
Naona Wanataka machafuko hawa!
Aswekwe ndani mpaka aelewe maana ya Mahakama ni nini.
Nani walimtoa?....Trust me hoja imeleta more revolutions than blood,.Arusha walienda kumtoa nani unadhani?
wanaccm wanaheshimu mahakama, na wote hao wakiitwa mahakamani basi watakwenda. Kwanini wenu nyie wanadharau mahakama?Mbona mmeshindwa kuwasweka ndani mafisadi akina Mkapa, Yona, Karamagi, Chenge, Lowassa, Rostam n.k. au mahakama na polisi zipo kuwadhibiti CHADEMA tu na sio watenda maovu toka chama cha magamba!?
Hii ni hatari aisee!!lazima atachomwa sindano ya sumu,watu wengi waliofariki kama sheikh kassim wa msikiti wa mtoro alifanywa hivyo hivyo
wanaccm wanaheshimu mahakama, na wote hao wakiitwa mahakamani basi watakwenda. Kwanini wenu nyie wanadharau mahakama?
Alinacha hizo! Ufisadi waliofanya hao niliowataja wote walistahili kuwa jela na kufilisiwa mali zao zote walizopata kiharamu lakini kutokana na nchi kutokuwa na utawala wa sheria hadi hii leo wanapeta tu! Polisi na mahakama wako busy kuwadhalilisha Viongozi wa juu wa CHADEMA kila wanapopata nafasi ya kufanya hivyo.
Machafuko gani wewe, hii ni Tanzania na wengi wenu ni washabiki tu, maneno mengi lakini hakuna waafrica waoga kama wabongo. Tena safari hii hakuna haja ya bunduki, ni fimbo tu.
Astahili yake, sasa ingieni barabarani tuwakong'oli.
hadi sasa sheria imechukua mkondo wake.
na chadema wanavyojinadi kuwa ni waumini wa sheria. kwa hio watulie ili sheria iendelee kufata mkondo wake.
waende mahakamani na kama wanahoja za kutoa watapambana huko mahakamani.
wasijaribu kutuharibia nchi, maana dola kwa nguvu zake zote itasimama kuhakikisha inalinda amani ya nchi, kwa gharama yoyote ile, nchi haitoweza kuacha wale magoi goi kuifanya nchi yetu kama haina sheria za kuiongoza.
poleni sana wanachadema, ila mnatakiwa na nyny kama wapenzi kwa viongozi wenu kuwashauri kufata sheria, na kama wanaona sheria haziko fair watumie bunge na njia halali kurekebisha sheria hizo ili zisomeke ktk wanachoona wao kuwa ni sawa.
8 months pregnant unafanya nini hapo?
Wakikupiga tulalamike nini tena?
ops,mengine ni kujitakia tu
Ndugu yangu kuwa kiongozi wa upinzani kuna maana ya kukaidi amri ya mahakama? Fikira yako kuwa kuweko kwa taifa kutategemea viongozi wa siasa peke yake bila ya sheria? unafikiri Mtikila, Lipumba, Mbatia, Mrema na wote wakubwa wa upinzani wafanye wanavyotaka kuvunja sheria hilo litakuwa Taifa la namna gani? After all ni wewe tu unayelalama lakini huu ni mkakati maalum wa CHADEMA kununua umaarufu hivyo hao viongozi wanajaribu sana kutiwa ndani na kwa vile hawapelekwi Ukonga au Segerea wana wasiwasi wa nini?
Ndugu yangu kuwa kiongozi wa upinzani kuna maana ya kukaidi amri ya mahakama? Fikira yako kuwa kuweko kwa taifa kutategemea viongozi wa siasa peke yake bila ya sheria? unafikiri Mtikila, Lipumba, Mbatia, Mrema na wote wakubwa wa upinzani wafanye wanavyotaka kuvunja sheria hilo litakuwa Taifa la namna gani? After all ni wewe tu unayelalama lakini huu ni mkakati maalum wa CHADEMA kununua umaarufu hivyo hao viongozi wanajaribu sana kutiwa ndani na kwa vile hawapelekwi Ukonga au Segerea wana wasiwasi wa nini?