Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Mimi sijui kutengeneza ila kitu kipo mtaani na watu wanafanya dishi la kawaida unaingiza software katika receiver (media com). Unaingiza na cable chungulia nyuma ya receiver utaona hio sehemu. Ukishaingiza hio software chanel za aljazeera zitaongezeka utapata aljazeera sport zote.

Aljazeera sport inaonesha mipira yote ya south america na pia kuna tetesi mwakani wakaonesha ligi ya uingereza kwa kuwapokonya licence abudhabi sport
Thanks chief, nitashukuru kama utadadavua kidogo zaidi, hiyo software nitaipata wapi? Na hiyo cable uliyotaja ni tofauti na inayotoka kwenye dish? Na vipi receiver tofauti na media-com hazina hiyo makitu?
 
Thanks chief, nitashukuru kama utadadavua kidogo zaidi, hiyo software nitaipata wapi? Na hiyo cable uliyotaja ni tofauti na inayotoka kwenye dish? Na vipi receiver tofauti na media-com hazina hiyo makitu?

Ni kama firmware iliyokua cracked na cable ni tofauti na kutoka kwenye dishi ni kama cable ya desktop ya kuunganisha cpu na monitor

Sjawah skia receiver tofauti na hiyo soft jamaa wanabana sana nimejaribu kugoogle nimeambulia patupu.
 
mimi na dish ya ft 8 na2mia nilesat sasa channel ya abudhabi oula ina ganda sana sometimes hayoneshi kabisa je nifanyaje??na je naweza kupata mbc channels kama 1 na 2???
 
Nashukuru kwa hili somo naona limekuja muda mwafaka. Tatizo langu ni free chanel,maana fundi aliye nifanyia installation alifanya uhuni. Nilimwambia nitilie free chanel,baada kuvutana kwenye malipo atimae tukakuliana, akaweka free chanel.

Kivumbi kikaja nilipotoa pesa kwenye wallet, akataka nimuongeze pesa kinyume na makubaliano ya awali. Tulipo shindana akamua kuweka pin code. Naomba msaada kwa hilo, na mengine nitaendelea kujifunza kwenye uzi huu.
 
Nashukuru kwa hili somo naona limekuja muda mwafaka. Tatizo langu ni free chanel,maana fundi aliye nifanyia installation alifanya uhuni. Nilimwambia nitilie free chanel,baada kuvutana kwenye malipo atimae tukakuliana,akaweka free chanel.

Kivumbi kikaja nilipotoa pesa kwenye wallet, akataka nimuongeze pesa kinyume na makubaliano ya awali. Tulipo shindana akamua kuweka pin code. Naomba msaada kwa hilo, na mengine nitaendelea kujifunza kwenye uzi huu.

Ha ha ha ha... Mwongeze hela...
 
Nashukuru kwa hili somo naona limekuja muda mwafaka. Tatizo langu ni free chanel,maana fundi aliye nifanyia installation alifanya uhuni.

Nilimwambia nitilie free chanel, baada kuvutana kwenye malipo atimae tukakuliana,akaweka free chanel. Kivumbi kikaja nilipotoa pesa kwenye wallet, akataka nimuongeze pesa kinyume na makubaliano ya awali. Tulipo shindana akamua kuweka pin code.

Naomba msaada kwa hilo, na mengine nitaendelea kujifunza kwenye uzi huu.

Unatumia receiver ya aina gani.
 
Hizo radio zitakuwepo tu huenda umesahau sehemu zinapopatikana. Chagua chaneli mf Itv bonyeza kitufe cha audio na pale utapata radios zako. Unaweza kuweka lnb hiyo juu ya hiyo inayoitumia hakikisha angalau zinagusana.

kata lnb holder kwa juu ili kuhakikisha zinzgusana na umekitoa kisabuni ndani ya lnb utakayoiweka juu. Lnb ya juu itakufanya upate sat ya intelsat10 68.4 deg east ambapo kwa sasa unaweza kupata dubai sports inayorusha live olympics.

Chaneli ten sasa ni tatizo signal ni weak sana kwa 6ft dish antanna.
 
Jaribu kuzungusha kidogo lnb yako kidogo pale juu. Kwa sasa unaweza kupata mbc sd-channels@ nilesat 201
 
7405889
7406365
7404121
 
hii ni sat ses4 20 deg west, kwanza ni cband beam na picha ya 2 na3 ni ku band beams na namba unazozionz ni makadirio ya ukubwe wa dish.
 
Unaweza kupata fta chaneli nyingi kutokana na uwezo wa kuwa na satdish 2 au 3,

(1)uwe na c band satdish futi 6 au 8 pamoja na lnb 3 moja iwe c band lnb na 2 ku band, lnb ya kwanza ambayo ni c band utapata chanel 9 ambazo ni

1.ITV
2.EATV
3.CAPITAL
4.TBC
5.STAR TV
6.CHANNEL 10 (kwa shida)
7.MTV1
8.MTV2
9.TIM

Lnb ya pili ni ku ambayo utaifunga juu ya ile c band ya katikati na utapata chanelli kama, BTV, SABC 1,2 na 3, F24, Nollywood plus, nollywood moves, ctl, press tv, channel 44, afrika unite tv, citezen tv, emanuel tv ziko nyingi zaidi ya 70.

Lnb ya tatu ni ku utaifunga upande wa chini na hii umapata chaneli kama Kbc, k24, familly tv, sayare tv (sauti ya rehema), na wbs. Kama utakuwa na dish dogo la ku lifunge liangalie kaskazini muelekeo wa dstv utapata chaneli kama,

lcf, golfe tv, rdv, ortb, drtv internatinal, love world, ebru tv, tpa (feed) kama una HD Reciever unapata na channel ten. To be cont...
 
Ingekuwa vizuri zaidi tunge jadili namna ya kutumia decoder ya Avata na kupata channel za DSTV

mkuu hii kitu nimeikubali nimeingia chimbo nikakuta haya mavitu


avatar dongle,avatar decoder, dstv avatar ,dongle W3 A,satellite digital FTA free to air receiver africa dongle satellite digital satellite receiver FTA free to air channels:

--W3 A 7.0E
--Eutelsat W7 36.0E
--Eutelsat W4 36.0E
--NSS7 22.0W
--Intelsat 10(68.5E),
--Hotbird 13.0E
--Nilesat 7.0W

africa dongle receive channel lists

Eutelsat W7 at 36.0E--Mulichoice africa

Eutelsat W3 at 7.0E--Psat TV

NSS7 at 22.0W--Canalsat Horizons

Intelsat 10 at 68.5E--My TV

Eutelsat W4 at 36.0E--HiTV

Hot Bird at 13.0 East--Al Jazeera Sport Channel

Hot Bird at 13.0 East--British Telecom Channel

Hot Bird at 13.0 East--Milano Teleport Channel

Hot Bird 8/9 at 13.0E--Nova

Hot Bird at 13.0 East--Cyfrowy Polsat Packages

Nilesat at 7.0 West--Arab Digital Distribution Universe Packages

Nilesat at 7.0 West--Al Jazeera Sport

africa dongle decoder, dstv avatar ,dongle W3 A,satellite digital receiver specifications

1,MPEG-2 digital and fully DVB complicant
2,Scart connectors and RCA / AV output
3,1800 channels TV and radio programmable
4,Video/audio decoding Video decoding MPEG2 DVB compliant Audio decoding MPEG layer 1 and 2 (32, 44.1, 48KHz)
5,Bit rate up to 15MB/s
6,Sound mode mono/stereo
avatar dongle
Products
Network communications [23]
Wireless Communcation [14]
Radio & TV [2]
Telecom equipment [3]



Company Profile
Trade Shows
CONTACT US
Street Address : Floor
201,Building 2,Minlida Industrial
City : shenzhen
Country : China



wachina wameturahishia sana mambo nikirudi bongo nitakesha na hii kitu! sijaelewa hapa wanamaana gani adult channels ni porno..??

Adult
11013, H
11727, V


anyways nimezipata hapa zipo nyingi
http://www.alibaba.com/showroom/avatar-dongle-for-africa.html

 
Mavella

Mkuu,mbona kwangu hizo Btv,SABC1,2na3 hazionekani? Je ni kwa maeneo gani ya kwa Tz inakuwa rahs kuzipata? Je hata Hapa Dar mnazipata hz chnls?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,mbona kwangu hizo Btv,SABC1,2na3 hazionekani? Je ni kwa maeneo gani ya kwa Tz inakuwa rahs kuzipata? Je hata Hapa Dar mnazipata hz chnls?
kweli kwa tz sio sehemu zote wanaweza kupata baadhi ya chanell kama sabc, btv, god tv, f24 kwa sababu footprint ni ya kusini mwa afrika, mimi niko songea kusini mwa tz kwa hiyo ni rahisi kuzipata kwa dar labda jaribu ft 8 au cm 120 offset dish.
 
Mkuu eti kwenye kU band unaweza pata chanel za itv, eatv,channel 10, capital,tbc na star tv?
 
Mavella

Na je ten sport ni FTA? je kwenye satellite gani? Na dish lielekee upande gani?
 
Last edited by a moderator:
Kaka mie naona wewe ungetoa kwanza somo lako mpaka mwisho juu ya unavyoelewa kuhusu FTA kisha sisi tungekuuliza mswali. Naomba kujua umuhimu wa vitu hivi na vinapatikana wapi? 1. Dongle Hawrk 70FTA, 2. Wiz Tech 8020HD PVR, Strong SRT 4669
 
Back
Top Bottom