Ulimwengu ndio huo Utajiri wa Dunia huoooooooooo........

"M" na "K" nimeyapenda maongezi yenu. Ningeshangaa sana kama "M" na "K" mngekuwa hampatani. Kwikwikwikwikwikwikwikwi......... Tehetehetehetehetehetehetehetehe......

Jamani nilikuwa napita tu nikasikia mazungumzo yenu, Bye..
 
Avatar itarudi ila inabidi unishawishi kwanza. Nips hela Kama kg 10 za dollar then we will talk:redface:
Mbona umetaja pesa kidogo hiyo Dollar10 nitakupatia wewe Rudisha avatar yangu ninayoipenda...... King'asti Hizo pesa ni za Wauza Unga huko Kolombia Wamekamatwa na serikali ya Kolombia hizo Pesa ni Zaidi ya Milllion 500 Dollar. Naona ukizipata hizo utatakana wewe kuwa Rais wa Tanzania.........
 
"M" na "K" nimeyapenda maongezi yenu. Ningeshangaa sana kama "M" na "K" mngekuwa hampatani. Kwikwikwikwikwikwikwikwi......... Tehetehetehetehetehetehetehetehe......

Jamani nilikuwa napita tu nikasikia mazungumzo yenu, Bye..
Acha Umbeya wewe grafani11 Pita njia kama Gari lililojaa Magunia ya Mahindi .....................
 
Last edited by a moderator:
Mbona umetaja pesa kidogo hiyo Dollar10 nitakupatia wewe Rudisha avatar yangu ninayoipenda...... King'asti Hizo pesa ni za Wauza Unga huko Kolombia Wamekamatwa na serikali ya Kolombia hizo Pesa ni Zaidi ya Milllion 500 Dollar. Naona ukizipata hizo utatakana wewe kuwa Rais wa Tanzania.........
Ween vipi, hela nyingi hula hatuhesabu, yunapima uzito. Sijasema dollar 10, nimesema ziwe dollar kilogram 10. Do the needful nitarudisha avatar yako panda, japokuwa being faceless is solo nice aise
 
Ole humo ndani watie timu panya kama wawili tu wenye njaa kali...hapo ndio itajulikana pesa ni maua, makaratasi au sabuni ya roho
 
Kuna mtu alisema hivyo hivyo almost 9 years ago, lakini hatuoni kitu!
Usinilinganishe na huyo, nihukumu mimi kama mimi!! By the way, do you know that one talented person can change the lives of milions people? If yes, then why not me? That's what I believe MadameX.
 
nikizpata mbona itakuwa noma mpaka ---- walionitosa watataka kuwa wangu
 
Back
Top Bottom