Ulimwengu aiponda Tuzo ya Mo Ibrahim - asema haitazuia marais kuwaibia wananchi wao

Nice article and his opinions for my view should be considered by Salim's committee.
 
Sijawahi kuwa shabiki wa Ulimwengu.

Ni pole pole sasa baadhi wanadhani Ulimwengu is a ‘thinker' Sijawahi kuamini kwamba jamaa huyu yuko hivyo.
Kosa, nani alisema zawadi hiyo ni kuzuia wizi au rushwa kwa viogozi wa Afrika? Maneno kama hayo ni sawa na yale ya Museveni.

Hiyo ni Zawadi. Ni ishara ya uongozi uliofaa na unakumbukwa kwa hilo. Kiongozi hapewi zawadi hiyo kama fidia kwa kutoiba.

Ulimwengu! ………………….
 
Kwa nini humu JF kuna wanafiki sana?

Habari kama hii ililetwa humu JF ilikuwa inamuhusu Kibonde,
Kibonde aliponda Tuzo za Mo Ibrahim, watu wote humu walimshambulia Kibonde, leo Ulimwengu kaponda Tuzo za Mo Ibrahim, wote mnaungana na Ulimwengu, huu ni unafiki aukubariki hata kidogo humu JF

Ni kweli mkuu mie ndo nili ipost that day nimemsikia akiongea kipindi cha jahazi bwana kibonde, hata hivo nimejaribu kuitrace nione comments za ma great thinker siioni thread ile, maana nilisafiri, ila watu wawili ama watatu wa mwanzo kuchangia waliponda na kushauri niachane na kibonde ambaye hata hivo si kwamba namkubali
 
Ulimwengu has probably missed the point. The aim of Mo Ibrahim laurels is to appreciate the outstanding performance of a few devoted African leaders so that, hopefully, their counterparts emulate something from their achievements. I believe that in a long run will provide palpable results, but misprizing it at this stage of time might appear to be an act of imprudence.
Probably you have not grasped his idea and suggestion. Politics has occupied our lives in Africa so much so, that we have forgotten that politicians do not actually help much in developing or changing a country. Especially our African politicians who are damn greedy!
 
Back
Top Bottom