ULIMO ni kwa ajili ya kuking'oa CCM, Tukiunge mkono!

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Nimekianzisha chama cha United Liberal Movement (ULIMO). Lengo ni kuviunganisha vyama vyote vya siasa nchini katika kukiondoa CCM 2015. Bila kujali itikadi wala madaraka nataka kuunganisha nguvu ili CCM ianguke. Kama ikikubalika iwe hivyo panga safu ya viongozi hapa chini kuanzia m/kiti kwa kuangalia wanachama na viongozi mbambali wa vyama vya upinzani hapa nchini.
1. Mwenyekiti
2. Makamu mwenyekiti bara
3. Makamu m/kiti Zanzibar
4. Katibu mkuu
5. Naibu katibu mkuu bara
6. Naibu katibu mkuu Zanzibar
n.k
3.
 
usiangaike jaribu kujiunga na CDM ndio inayohofiwa na CCM sio kuanzisha kipya kitakufa kama CCJ na CCK na wale wote waliojiunga watarudi kwa CCM , hatudanganyiki tena vilivyopo vinatosha sana
 
HII SRED BOMBA NA ULISHAILETA ILA UKAAMIWA UWEKE DRAFT YA MALENGO, SERA UKAISHIA KUSEMA kufaulisha 4m 4.

Ntakuunga mkono ndugu yangu ila chakachua kidogo ili tuone hilo chama litakuwa vipi.
 
huyu bwana anasoma Political science....anatafuta desa la assignment.....
 
1. Mwenyekit -Dk. Wilbard Slaa
2.M/mwenyekiti bara-John Mnyika
3.M/mwenyekiti z'bar-nil
4.Katibu mkuu-Tundu Lissu
5.N/katibu mkuu bara-Mziray
6.N/katibu Mkuu z'bar-nil

NB:Wakihusishwa wazanzibar watakihujumu chama i.e CUF =CCM(B).
 
Nimekianzisha chama cha United Liberal Movement (ULIMO). Lengo ni kuviunganisha vyama vyote vya siasa nchini katika kukiondoa CCM 2015. Bila kujali itikadi wala madaraka nataka kuunganisha nguvu ili CCM ianguke. Kama ikikubalika iwe hivyo panga safu ya viongozi hapa chini kuanzia m/kiti kwa kuangalia wanachama na viongozi mbambali wa vyama vya upinzani hapa nchini. 1. Mwenyekiti 2. Makamu mwenyekiti bara 3. Makamu m/kiti Zanzibar 4. Katibu mkuu 5. Naibu katibu mkuu bara 6. Naibu katibu mkuu Zanzibar n.k 3.
Mbona kina muundo kama wa CCM?
 
Nimekianzisha chama cha United Liberal Movement (ULIMO). Lengo ni kuviunganisha vyama vyote vya siasa nchini katika kukiondoa CCM 2015. Bila kujali itikadi wala madaraka nataka kuunganisha nguvu ili CCM ianguke. Kama ikikubalika iwe hivyo panga safu ya viongozi hapa chini kuanzia m/kiti kwa kuangalia wanachama na viongozi mbambali wa vyama vya upinzani hapa nchini.
1. Mwenyekiti
2. Makamu mwenyekiti bara
3. Makamu m/kiti Zanzibar
4. Katibu mkuu
5. Naibu katibu mkuu bara
6. Naibu katibu mkuu Zanzibar
n.k
3.

Mwenyekiti ni Wewe mwenyewe ama waweza mwachia Lipumba
Makamu mwenyekiti Hamad Rashid na Augustino Mrema
Katibu Mkuu ni Maalimu Seif Sharif Hamadi na James Mbatia
Naibu katibu Mkuu ni Julius Mtatiro na Juma Haji Duni

Kwa mtaji huu unaweza kabisa kuing'oa CCM na ukawa juu ya Chadema
 
Kama ni chama cha maliberali mie nakuunga mkono ila ningelifurahi kuona sera na katiba ya chama chako otherwise endelea tu na mpango wako. Kuhusu kujiunga na Chadema sikushauri maana kinajijengea maadui kuliko marafiki kadiri siku zinavyojiri hivyo usitegemee kupata wafuasi. Pia CUF ni chama kinachoonekana kimemezwa na serikali ya kitaifa zanzibar. CCM ni Chama cha mafisadi na hivyo na wewe utaonekana kuwa mmoja wa mafisadi. Nachokushauri kuwa neutral ili upate wafuasi wengi.
 
Back
Top Bottom