Ulimboka na MAT ndo wazee wa Dar es Salaam?

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Kesho kutakuwa na mkutano wa madaktari, saa tatu asubuhi. Agenda ni mrejesho kutoka MAT na Jumuiya ya Madaktari (Mrejesho kutoka mkutano ikulu, kuhusu Court Injuction, etc). Ukumbi utatangazwa bado tunashughulikia. IMETOLEWA NA
MAT NA KAMATI. Plz copy it and forward to all doctors
 
Kesho
kutakuwa na mkutano wa madaktari, saa tatu asubuhi. Agenda ni mrejesho
kutoka MAT na Jumuiya ya Madaktari (Mrejesho kutoka mkutano ikulu,
kuhusu Court Injuction, etc). Ukumbi utatangazwa bado tunashughulikia.
IMETOLEWA NA
MAT NA KAMATI. Plz copy it and forward to all doctors

'SWA - DAKTA' Madaktari. Kila la kheri!!
 
Mad aktari, gahwa na juisi ya tende tayari hata kusema kilichojiri mnashindwa. Kwi kwi kwi, teh teh teh
 
Mad aktari, gahwa na juisi ya tende tayari hata kusema kilichojiri mnashindwa. Kwi kwi kwi, teh teh teh
madaktari walikaa wiki tatu bila kusema kilichojiri kati yao na pinda,baadae walionyesha kwa vitendo.kuwa mtulivu utaona maazimio yaliyokwenda shule!
 
Poa madaktari wetu,Ntuli Mwambingu wa TANA ametuchafulia hewa. Wauguzi tupo pamoja nanyi.
 
Madaktari nao kama Mgaya tu. Kesho utasikia wamemalizana na serikali, huku jamaa na demu wake wanaendelea kutanua wizarani.
 
Madaktari nao kama Mgaya tu. Kesho utasikia wamemalizana na serikali, huku jamaa na demu wake wanaendelea kutanua wizarani.
Mkuu wangu ingawa nawaunga mkono madakitari lakini muhimu ni suluhisho la kudumu kati ya serikali na madakitari wetu. Inawezekena kama ilivyokua issue ya Katiba huyu Mheshimiwa alikua anadanganywa na washauri na wasaidizi wake!
 
madaktari walikaa wiki tatu bila kusema kilichojiri kati yao na pinda,baadae walionyesha kwa vitendo.kuwa mtulivu utaona maazimio yaliyokwenda shule!

Kilichojiri na Pinda kilikuwa kwenye TV ulitaka waseme nini? hawa mad aktari uchwara, kwa Kikwete ni where the buck stops.

Ngoja tuone power za gahwa na jusi ya tende, hukumbuki ya magwanda? mpaka leo shwari kabisa, hakuna kususa wala maandamano, pale ndio mwisho wa matatizo.
 
Upuuzi mtupu! mna damu za watu kwenye vinywa venu. Halafu mnagoma kumbe hamna mbele wala nyuma
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom