Ulimboka apandishwa mahakamani na takukuru kwa kosa la rushwa

Yanga oyeeee ubingwa mwaka huu wetuuu,,,,na mwaka huu lazima kieleweke tukiwaambia simba wananunua mechi na kupata ushindi mnabisha sasa mamboo hayoooo yako hazarani aibu aibu yaani nyie nyambaff kweli kila siku mpira wetu unashuka kiwango ndo maana simba hawafiki mbali kwa mazoea yao ya kununua mechi Yangaa oyeeeeeee na kado wetu tunayeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
 
Taasisi zingine hazina kazi zaidi ya kutafuna kodi zetu,nafuu zingefutwa kabisa.
 
hii issue mbona ya longil sana??
Yaani kipindi ulimboka anatuhumiwa kwa rushwa! Shaaban kado alikua kipa wa mtibwa!!
Ulimboka alikua mchezaji huru mwaka ukaisha,
akaja akachezea majimaji nao mwaka ukaisha,
kwa sasa yupo simba, walikua wapi hao takukuru???
Eti alikutwa na kama laki 3 hivi ambazo mwenyewe alidai anakwenda kumlipa deni lake kado!!
Wanawaachiaje wala rushwa wa mabilioni wanaotanua tu mjini?

yanga oyeeeeeeeeeeeeee ubingwa wetuuuu mwaka huuu ndo mkome kununua mechi kamata mnyama piga ua chinja nyama tugawe kwa timu zote
 
Habari ya uhakika ni kwamba mchezaji mpira ULIMBOKA amepandishwa leo mahakamani na TAKUKURU kwa kosa la hongo kwa mchezaji wa timu ya Mtibwa. Kesi hiyo imefunguliwa mahakama ya mkoa wa Morogoro.

SOURCE: MAHAKAMA YA MKOA MOROGORO.

sahihisho kumbe siyo golikipa na meneja ni mchezaji huyo yanga oyeeeeeeee
 
Hii TUKUKURU haina kazi! Badala ya kwenda kuwakamata wezi na wahujumu wa uchumi wetu wanajipeleka kwenye mipira hiyo rushwa ya golikipa inaathiri vipi uchumi wetu; TUKUKURU mnajiaibisha

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Duh!hatuwezi kufika,naona wewe unaona baadhi ya makosa ni haramu na baadhi ni halali!hii siyo sawa hata kidogo!
 
Hii TUKUKURU haina kazi! Badala ya kwenda kuwakamata wezi na wahujumu wa uchumi wetu wanajipeleka kwenye mipira hiyo rushwa ya golikipa inaathiri vipi uchumi wetu; TUKUKURU mnajiaibisha

Chama
Gongo la Mboto DSM
inaathiriri sana ndo maana timu zetu hazifanikiwi kimataifa wachezaji hawafanikiwi kimataifa na hadi leo hatujawahi kushiriki kombe la dunia wachezaji wanafunga magoli kwa makipa kuwaachia baada ya kupewa mavumba!!
 
Hii issue mbona ya Longil sana??
Yaani kipindi Ulimboka anatuhumiwa kwa Rushwa! Shaaban Kado alikua kipa wa mtibwa!!
Ulimboka alikua mchezaji huru mwaka ukaisha,
Akaja akachezea majimaji nao mwaka ukaisha,
Kwa sasa yupo Simba, walikua wapi hao TAKUKURU???
Eti alikutwa na kama laki 3 hivi ambazo mwenyewe alidai anakwenda kumlipa deni lake Kado!!
Wanawaachiaje wala rushwa wa mabilioni wanaotanua tu mjini?

PCCB have no work to do
 
Kweli takukuru ni mzigo kwa taifa hili maskini...sasa wana jf tufanye nini ili kuwezesha hii taasisi hewa ifutwe kabisa?
 
haina maslahi kwetu sisi wawakamate mafisadi papa tuwaone kina chenge,hosea,lowasa na wote wanaohusika kutuletea umaskini
na sio hao vidagaa
takukuru wenyewe wala rushwa wakubwa kwa waliompakanai holili,kigoma bukoba musoma,nk wanawajua vizuri sana hawa jamaa
 
inaathiriri sana ndo maana timu zetu hazifanikiwi kimataifa wachezaji hawafanikiwi kimataifa na hadi leo hatujawahi kushiriki kombe la dunia wachezaji wanafunga magoli kwa makipa kuwaachia baada ya kupewa mavumba!!

Utachanganya watu...Ulimboka imepita miaka miwili tangu atende tukio hilo! Ilikuwa ampe Shaban Kado [sasa yuko Yanga].Viongozi wa Mtibwa walifungua kesi. Sijui iliendeleaje,ila Ulimboka alihamia Majimaji na soo lilipopoa akarudi Simba. Anzia hapo,ongea na chanzo chako
 
hizi taasisi vipi takukuru.ewura.sumatra ni wizi mtupu sijui tanzania tunaenda wapi vyombo tunavyo na matatizo ndo yanazidi je visingekupo ingekuwaje?jaribu tafakari vina saidia nini?

Wameona wakina Jairo, Ngeleja , Malima na Luhanjo wanakwiba lakini hawafanywi kitu; nao wameamua kuanza kuchukua chao mapema before it is too late!!
 
Back
Top Bottom