Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Wandugu salamu,

Jana saa mbili kamili usiku, Etiennes Club kaunta ya Juu:Bia ya baridi, glasi ya moto, mhudumu mweupe.

Kijana mmoja akatokea akawakuta rafiki zake kaunta, babu nawaangalia tu na mawani yangu.
Wakagongeana mikono na kutaniana kidogo, babu nawaangalia tu bila mawani
Kisha wakapeana habari ya yaliyojiri jana yake, babu nawasikiliza tu.

Maongezi yakaendelea kupeana yaliyojiri kama walivyokubaliana jana yake. Mpaka ilipofikia sentensi ifuatayo ndipo babu akshtuka, nainukuu.... "Si nikamfanyia kama mlivyoniambia?....Nikaona tofauti bana....alipagawa flani hivi.....mwanaume nikajua bibiye nimemfikisha pafikishwapo...." Mara jamaa kabadili sura........" Baada ya gemu si ndo nikajua kumbe yule demu kauzu........ Eti akanambia mpenzi wangu ulikuwa wapi siku zote jamani? Sikujua......"

Mjadala ukaanzia hapo:
Nilikuwa wapi siku zote, ana maana gani?
Jamaa 1:(Huku Anacheka)....anasikitika kama ungemfanyia hivyo siku zote asingemegwa na wengine, angekupa wewe tu, unamegewa wewe!
Jamaa 2: Hapana bana, bibiye alikuwa anaelezea hisia zake, ulichelewesha kumpa maufundi bana
Mhusika: Mi mjanja bana....huyu anamaanisha ...yani nlikuwa mshamba flani nlikuwa wapi siku zote sikumfanyia hayo majambo, mpaka ndo namfanyia safari hii.....demu mwingi sana yule....haya mambo aliyajulia wapi mpaka anambie nlikuwa wapi siku zote?......(Sina sababu ya kuwaambia alichomfanyia bibiye, babu si mbea)

Babu kwakuwa sipendi dhambi nikajiondokea zangu....nikarudi zangu kitandani.

Sasa kaswali kwenu vijana wangu na wajukuu wangu wapendwa:

Mpenzi wako wa siku nyingi akikuonyesha ubunifu mpya katika mapenzi (kwenye sita kwa sita) ambao miaka yote hiyo hakuwahi kukufanyia....... kuna uwezekano kaupata sehemu flani ndo anakuletea? Unapaswa kumuuliza kajifunzia wapi au kumwambia ahsante?.......Je kuna sababu yoyote ya kuleta ubunifu mpya wa mapenzi kwa mpenzi/mwenza wako wa siku nyingi? Si hatari kwa mahusiano?

Jamani nawaulizeni? : MLIKUWA WAPI SIKU ZOTE............?

Babu anarudi kitandani kutafakari.

Swahiba kuna mtu unamsema humu aisee.... we ngoja akudunde migumi hadi ujikojolee.... huwa haposti sana siku hizi lakini kwa hili ataibuka tu
 
swahiba kuna mtu unamsema humu aisee.... We ngoja akudunde migumi hadi ujikojolee.... Huwa haposti sana siku hizi lakini kwa hili ataibuka tu

mtm
curiousity kills a cat...

Who is that?
He?
She????????
 
Sasa kaswali kwenu vijana wangu na wajukuu wangu wapendwa:

Mpenzi wako wa siku nyingi akikuonyesha ubunifu mpya katika mapenzi (kwenye sita kwa sita) ambao miaka yote hiyo hakuwahi kukufanyia....... kuna uwezekano kaupata sehemu flani ndo anakuletea? .

Mara nyingi jibu la hapa ni ndio, ingawa kupata kwake inakuwa indirectly, (i.e kuhadithiwa, kuangalia, kusomea. etc) sio kufanyiwa!


Unapaswa kumuuliza kajifunzia wapi au kumwambia ahsante?........

...haipendezi! la maana ni kumsifia kwa hako kautundu kanakonogesha...!

Je kuna sababu yoyote ya kuleta ubunifu mpya wa mapenzi kwa mpenzi/mwenza wako wa siku nyingi? .

...naaam, naam. Tena hilo ni lazima! Hakuna ubaya kuwa na Diary una tick...
Jumatatu na Jumatano- Vigelegele, Jumanne na alhamisi- kengele, Ijumaa na Jumapili - kileja...
wiki ya pili unabadilisha somo...


Si hatari kwa mahusiano?.

...hamna hatari yeyote, 'keep her Guessing' kesho yake utakuja na somo gani!

Jamani nawaulizeni? : MLIKUWA WAPI SIKU ZOTE............?

Babu anarudi kitandani kutafakari.
 
We Mbu haya tusimulie maana ya kigelegele, kengele na kileja............mh watu mna mafuzo ila nimeipenda hiyo ya kumfanya kila siku awe anawaza leo ntapata nini.....inanigesha hamu ya kukutana na mwenzi wako........

Wana heri wao waliokutana na wanojua mapenzi!!!
 
we mbu haya tusimulie maana ya kigelegele, kengele na kileja............mh watu mna mafuzo ila nimeipenda hiyo ya kumfanya kila siku awe anawaza leo ntapata nini.....inanigesha hamu ya kukutana na mwenzi wako........

Wana heri wao waliokutana na wanojua mapenzi!!!

u sound like u never experience that lol
 
We Mbu haya tusimulie maana ya kigelegele, kengele na kileja............mh watu mna mafuzo ila nimeipenda hiyo ya kumfanya kila siku awe anawaza leo ntapata nini.....inanigesha hamu ya kukutana na mwenzi wako........

Wana heri wao waliokutana na wanojua mapenzi!!!

...lol,...mwj1, ASPIRIN ameuliza nami nam quote "ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE......?....EH?..."
 
...lol,...mwj1, ASPIRIN ameuliza nami nam quote "ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE......?....EH?..."

................Ah Mbu acha tu huyu Babu najaribufikiria alipokuwa kijana alikuwaje........wakati mwingine ananiingiza majaribuni Mjukuu natamani kuonja chakula cha Bibi....GOd forbid mimi ni Mtiifu lol

Asprini haoni bila miwani na by the time anakuja hapa hii post itakuwa ishavushwa peji
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
................Ah Mbu acha tu huyu Babu najaribufikiria alipokuwa kijana alikuwaje........wakati mwingine ananiingiza majaribuni Mjukuu natamani kuonja chakula cha Bibi....GOd forbid mimi ni Mtiifu lol

Asprini haoni bila miwani na by the time anakuja hapa hii post itakuwa ishavushwa peji

...ha ha hha ha! eti chakula cha bibi, ...wewe ndio unamtia majaribuni,
mwenyewe an'sema kwakuwa hapendi dhambi, hujirudia kitandani kulala!
 
Nilikuwa nasubiri siku ya leo ifike ili nikufanyie hayo uliyoyaona, Lizzy as if ulikuwa kichwani mwangu.... lol, babu una mambo, sijui ulikuwa wapi siku zote?
 
Back
Top Bottom