Uliemaliza udom 2012/2013 unahusika hapa!

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Kwa wale waliomaliza masomo yao UDOM kwa mwaka wa masomo 2011/2012 Chuo kimetangaza tarehe ya mahafali kuwa ni tarehe 21 na 22 ya mwezi wa Nonember mwaka huu. Kila la heri.

Aidha, kwa wale waliopo chuoni kwa sasa, tembelea link hii ili uweze kupata kalenda ya chuo hadi mwaka 2014.

University Almanac for July, 2012 to June, 2014
 
Back
Top Bottom