ulevi nomaa

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
580306_477111282309949_1404812047_n.jpg
 
Huyu kajiangusha tu na anataka wazee wa kazi wamsaidie matatizo yake ya ny....yanayomkabili.Angekuwa kalewa kweli simu na hicho kimkoba angekuwa kadondosha tayari.
 
Huyu kajiangusha tu na anataka wazee wa kazi wamsaidie matatizo yake ya ny....yanayomkabili.Angekuwa kalewa kweli simu na hicho kimkoba angekuwa kadondosha tayari.

Duh wamsaidie matatizo yake mh hajipendi kweli

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Angekuwa mkeo...unakuta yupo hivi nje ya nyumba....ujue kila kitu kwiiiiiisha... Ukiona manyoya...ujue kaliwa
 
Duh wamsaidie matatizo yake mh hajipendi kweli

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Angalia kinguo alichovaa unadhani hapo anataka nini kama sio kusaidiwa?Mwanamke anayejua utu wake hawezi kulewa na kujiangusha namana hii.
 
Oya oya kaa ukijua sterehe gharamaaa, oya kaa ukijua starehe gharama.... ukipenda pombe za bure ujue ni gharama............:smow:
 
Kazi hapo kaachiwa aliye karibu ale mambo tena bila wasiwasi maana ni ndani ya nyumba,kwa jinsi hali ilivyo hapo hakuna kuvua chochote,bado nasisitiza mwanamke anayejua utu wake na heshima yake hawezi kulewa namna hii.
 
Back
Top Bottom