Ulevi noma

Deo bony

Member
Mar 27, 2011
74
8
Walevi waliokota kioo
Mlevi mmoja: Kakitizama kioo kwa muda halafu akasema "Hii sura sii ngeni ila jina silikumbuki."
mwenzie akachukua kioo kuangalia
akasema: "We mlevi kwelikweli, si mimi huyu, halafu unajidai hunijui...?
"Dah!...ulevi noma"
 
[h=5]Mlevi alikuwa anakojoa kando ya barabara, mgambo akamzukia;
MGAMBO: We acha kukojoa funga zipu haraka. Mlevi akafunga zipu haraka, mgambo akaondoka. Mlevi akaanza kucheka
JIRANI: Sasa unacheka nini?
MLEVI: Mi mtoto wa mjini bwana, yaani nimemdanganya mgambo hivihivi?
JIRANI: Umefanya nini?
MLEVI: Nimefunga zipu lakini nikaendelea kukojoa kisiri kwenye suruali mpaka nimemaliza, na yule **** wala hakutambua.[/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom