Ulevi noma

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,304
Devi alikuwa kwenye kigrosari karibu na kwake, siku nzima alikuwa anapata kilaji yuko njwiii. Ghafla kaja Eddy akamwambia, "We fa#a wahi kwako kuna rafiki yako anayaharibu na mkeo". Devi kapaniki kakimbilia home. Baada ya dakika chache akarudi, kamvaa Eddy,'We mjinga sana unaleta mambo ya uongo hapa. Nimemcheki mbona yule siyo rafiki yangu"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom