Ulevi noma.....

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
....Mwenzenu nimeamka na mipombe kichwani...

....nshamkwaza ma'msapu toka alfajili bila sababu za msingi, lakini nimejaribu kusawazisha baada ya kumwelekeza afunge zipu ya gauli mgongo ulikuwa wazi wakati anatoka kwenda church...alitabasamu tu, nadhani akirejea church yatakuwa yamekwisha!!

Hangover balaaa...nimeshindwa hata kwenda church..najihisi kutenda dhambi kubwa sana leo ..

AMA HAKIKA ULEVI NI NOMA !!!!.
 
....Mwenzenu nimeamka na mipombe kichwani...

....nshamkwaza ma'msapu toka alfajili bila sababu za msingi, lakini nimejaribu kusawazisha baada ya kumwelekeza afunge zipu ya gauli mgongo ulikuwa wazi wakati anatoka kwenda church...alitabasamu tu, nadhani akirejea church yatakuwa yamekwisha!!

Hangover balaaa...nimeshindwa hata kwenda church..najihisi kutenda dhamibi kubwa sana leo ..

AMA HAKIKA ULEVI NI NOMA !!!!.
Kweli pombe mbaya sana
 
mbaya kabisa haifai, raha pale unapoinywa lakini asubuhi ni adhabu fulani hivi
 
Pole si ungeamka tu ukasinzie kanisani mbona mizee mingi tu leo ilikuwa inasinzia ila wamo ibadani, huwezi kujua unaweza pata neno ukaacha pombe. na hii holiday watu ni mirija pipani tu
 
Kweli church tunaenda kwa mengi, yaani baada ya kusikiliza neno la uzima, wee unaangalia wenzio wanavyosinzia! Heri yangu sijaenda!!!
 
Wengi wanaenda kuonyesha mitindo ya nywele na nguo..madini shingoni..gari mpya..kumchora fulani..kupumzika..kuonekana nao ni waumini..
 
Pole mkuu yaani hii week end ni noma mie mwenyewe hapa chicha ila nimeenda kanisani na neno limenibariki sana pia mwimbo huu umenifurahisha

Mle kaburiiini
Yeeeesu Mwokoooozi
Alilazwa Mleeee
Bwaaaana Wanguuuu

Bwana amefufukaaaa
Kifo kimeshindwa kabisaaaaa
Gizani mle alitoka mle
Sasa atawala Yuko Mbinguniiii

Yu haiiii Yu haiiii
Bwana Yesu Yu haiii

Hapo chacha
 
....Mwenzenu nimeamka na mipombe kichwani...

....nshamkwaza ma'msapu toka alfajili bila sababu za msingi, lakini nimejaribu kusawazisha baada ya kumwelekeza afunge zipu ya gauli mgongo ulikuwa wazi wakati anatoka kwenda church...alitabasamu tu, nadhani akirejea church yatakuwa yamekwisha!!

Hangover balaaa...nimeshindwa hata kwenda church..najihisi kutenda dhamibi kubwa sana leo ..

AMA HAKIKA ULEVI NI NOMA !!!!.

Mkuu mpaka hangover ina maana ulikunywa zaidi ya kreti 2???
 
Na wewe Elli!!!!???? kwani ukienda church una asume uko peke yako wala huangalii pembeni? hilo akukatalia la sivyo mchungaji nae angekuwa hasemi watu msilale kanisani cause hakuna kuangalia watu ni kusali tu. kawaida kuangalia vitu kama hivo kanisani
 
Pole mkuu yaani hii week end ni noma mie mwenyewe hapa chicha ila nimeenda kanisani na neno limenibariki sana pia mwimbo huu umenifurahisha

Mle kaburiiini
Yeeeesu Mwokoooozi
Alilazwa Mleeee
Bwaaaana Wanguuuu

Bwana amefufukaaaa
Kifo kimeshindwa kabisaaaaa
Gizani mle alitoka mle
Sasa atawala Yuko Mbinguniiii

Yu haiiii Yu haiiii
Bwana Yesu Yu haiii

Hapo chacha

Naupenda sana huu mwimbo
WAlinda kaburi
YEsu mwokozii
....................
bwana wangu

bwana amefufuka
kifi kimeshindwa kabisa
gizani mle alilazwa chini
sasa atawala huko mbinguniii

Yu haii yu haii bwana Yesu yu hai
 
Mkuu mpaka hangover ina maana ulikunywa zaidi ya kreti 2???

Pole mkuu yaani hii week end ni noma mie mwenyewe hapa chicha ila nimeenda kanisani na neno limenibariki sana pia mwimbo huu umenifurahisha

Mle kaburiiini
Yeeeesu Mwokoooozi
Alilazwa Mleeee
Bwaaaana Wanguuuu

Bwana amefufukaaaa
Kifo kimeshindwa kabisaaaaa
Gizani mle alitoka mle
Sasa atawala Yuko Mbinguniiii

Yu haiiii Yu haiiii
Bwana Yesu Yu haiii

Hapo chacha

Yaani yesterday ya jana nimetandika kiasi chake, pombe za mtaani unashindwa kuaga mabest ni mlundikaono tupu wa chupa.
Nimebarikiwa na mistari ya nyimbo za Mungu. Church bhana wengi tunaenda uwakilishi tupu wengi na ma hangover pengine tunapigilia viungo mdomoni (ndizi, mdalasini, vitunguu swaumu, big G nk)...ila ulevi noma, unaweza kukufanya ukose hata attention kwenye neno la Mungu, ukaona mahubiri ni marefu
 
Unajitosa hivohivo tu siku ipo roho mtakatifu atakushukia tu
 
....Mwenzenu nimeamka na mipombe kichwani...

....nshamkwaza ma'msapu toka alfajili bila sababu za msingi, lakini nimejaribu kusawazisha baada ya kumwelekeza afunge zipu ya gauli mgongo ulikuwa wazi wakati anatoka kwenda church...alitabasamu tu, nadhani akirejea church yatakuwa yamekwisha!!

Hangover balaaa...nimeshindwa hata kwenda church..najihisi kutenda dhamibi kubwa sana leo ..

AMA HAKIKA ULEVI NI NOMA !!!!.

Akienda sikinde nakwenda Msondo..... = Ulevi nooma:yawn:
 
Wengi wanaenda kuonyesha mitindo ya nywele na nguo..madini shingoni..gari mpya..kumchora fulani..kupumzika..kuonekana nao ni waumini..

Da Lizzy kijijin kwetu hakuna salun,ila mke wa diwan naona alilala mjini maana nywele zake kama za watu tuwaonao kwenye tviii,alipokuja kanisan!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom