Ule Wito wa January Makamba Umeitikiwa Vipi

Tetere Enjiwa

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
217
65
Wakiwa na Katibu Mwenezi wa chama chake alitoa wito kwa wanaharakati hasa wanawake kulaani kitendo cha dc wa igunga kufumaniwa na viongozi wa cdm akitaka kubaka demokrasia. Chakushangaza hata sophia simba anazungumzia rais mwananke sio hili la dc, tunapata picha gani hapa. Nawakilisha wenu katika kuleta na kupigania mabadiliko TZ.
 
Viongozi wanaopewe vyeo wasivyostahili wanajikomba mpaka wanakichafulia chama cha mapinduzi na serikali yake katika kujaribu kufanya mambo ambayo hayamo hata kweny kazi zao
 
Viongozi wanaopewe vyeo wasivyostahili wanajikomba mpaka wanakichafulia chama cha mapinduzi na serikali yake katika kujaribu kufanya mambo ambayo hayamo hata kweny kazi zao

Unamaanisha nini? Kwani Lema hajikombi kwa mwenyekiti?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom